Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

China

  • China: Uvamizi na uhasama dhidi ya Palestina haupaswi kuhalalishwa

    China: Uvamizi na uhasama dhidi ya Palestina haupaswi kuhalalishwa

    Jul 07, 2020 03:08

    Waziri wa Mambo ya Nje wa China ameashiria kuhusu uungaji mkono wa nchi hiyo ya Asia kwa wananchi madhulumu wa Palestina na kusisitiza kuwa, kuhujumiwa haki za msingi za Wapalestina hakupaswi kuhalalishwa.

  • Jitihada za Marekani za kuishawishi Ulaya iungane na Washington dhidi ya China

    Jitihada za Marekani za kuishawishi Ulaya iungane na Washington dhidi ya China

    Jun 27, 2020 22:03

    Marekani katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump imezididisha mienendo yake ya kukabiliana na China katika nyuga mbalimbali. Mbali na kutaka kuitwisha Beijing matakwa yake katika nyanja za kibiashara na kiuchumi, sasa Marekani inaingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo hususan katika maeneo mawili ya Hong Kong na Xinjiang kwa kisingizio cha haki za binadamu.

  • Njama za Marekani za kurefusha vikwazo vya silaha dhidi ya Iran kupitia Baraza la Usalama la UN

    Njama za Marekani za kurefusha vikwazo vya silaha dhidi ya Iran kupitia Baraza la Usalama la UN

    Jun 25, 2020 22:02

    Marekani imeanzisha kampeni kubwa za kimataifa za kulizuia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lisitekeleze azimio lake nambari 2231 linalotoa amri ya kuiondolea Iran vikwazo vya silaha ifikapo tarehe 18 Oktoba mwaka huu wa 2020. Marekani inaendesha njama hizo kama sehemu ya kukabiliana na uwezo mkubwa wa kiulinzi na kijeshi wa Iran unaozidi kukua na kuwa imara siku baada ya siku.

  • China yasema mashinikizo ya Marekani dhidi ya Iran hayatafika popote

    China yasema mashinikizo ya Marekani dhidi ya Iran hayatafika popote

    Jun 24, 2020 03:51

    Balozi wa China katika Umoja wa Mataifa amesema mashinikizo ya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hayatafika popote.

  • Russia na China zakosoa azimio la Bodi ya Magavana ya IAEA dhidi ya Iran

    Russia na China zakosoa azimio la Bodi ya Magavana ya IAEA dhidi ya Iran

    Jun 19, 2020 23:37

    Russia na China zimekosoa hatua ya kupasishwa azimio dhidi Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA).

  • Trump aiomba China imsaidie kushinda uchaguzi mkuu ujao

    Trump aiomba China imsaidie kushinda uchaguzi mkuu ujao

    Jun 18, 2020 04:01

    Mshauri wa zamani wa usalama wa taifa wa Marekani, John Bolton amesema katika kitabu chake kipya kwamba Rais Donald Trump wa nchi hiyo aliiomba China imsaidie katika kushinda uchaguzi mkuu wa rais uliopangwa kufanyika baadaye mwaka huu.

  • China yaionya India baada ya New Delhi kudai wanajeshi wake 20 wameuliwa na wanajeshi wa China mpakani

    China yaionya India baada ya New Delhi kudai wanajeshi wake 20 wameuliwa na wanajeshi wa China mpakani

    Jun 17, 2020 01:56

    Msemaji wa Jeshi la China ametoa onyo kali kwa India kuhusu vitendo vyake vya kichokozi katika eneo la mpaka wa nchi hizo mbili.

  • Walioaga dunia katika mripuko wa lori la gesi China wafika 19

    Walioaga dunia katika mripuko wa lori la gesi China wafika 19

    Jun 14, 2020 22:38

    Watu 19 wamefariki dunia huku wengine karibu 200 wakijeruhiwa baada ya lori lililobeba gesi asilia (LNG) kuripuka katika jimbo la Zhejiang, kusini mwa mji wa Shanghai nchini China.

  • China yapinga kurefushwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran

    China yapinga kurefushwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran

    Jun 12, 2020 23:41

    Kwa mara nyingine tena China imepinga vikali njama za Marekani za kutaka kurefushwa muda wa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran. Muda wa vikwazo hivyo unafikia tamati Oktoba mwaka huu wa 2020, kwa mujibu wa Azimio Nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

  • Katibu Mkuu wa NATO akiri: Mlingano wa nguvu duniani umebadilika

    Katibu Mkuu wa NATO akiri: Mlingano wa nguvu duniani umebadilika

    Jun 12, 2020 03:32

    Marekani ambayo ni kinara wa nchi za Magharibi imekuwa ikipinga suala la kuongezeka nguvu, ustawi na satua ya China katika uwanja wa kimataifa na imeitambua nchi hiyo kuwa ni tishio kwa ulimwengu wa Magharibi ikizitaka nchi za Ulaya kupunguza uhusiano wao na Beijing.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS