-
China yaionya Marekani iache kuingilia masuala ya ndani ya eneo la Taiwan
Jan 18, 2018 11:14Kwa mara nyingine serikali ya China imeionya Marekani kutokana na uingiliaji wake katika masuala ya kisiwa cha Taiwan.
-
The Guardian: 2017 ulikuwa mwaka wa kuenea zaidi udikteta na kudhoofika Marekani
Dec 26, 2017 23:12Gazeti la Guardian linalochapishwa nchini Uingereza limeandika kuwa mwaka huu wa 2017 ulikuwa mwaka wa kuenea udikteta na uchoyo na kudhoofika zaidi uongozi wa Marekani.
-
China yazindua ndege kubwa zaidi inayoweza kutua nchi kavu na majini
Dec 25, 2017 04:13China imezindua ndege ya "Jiaolong" AG600 ambayo ni ndege kubwa zaidi duniani inayoweza kutua nchi kavu na majini.
-
Russia yaionya Marekani kuhusu kuchochea mgogoro wa Korea
Dec 11, 2017 23:06Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameionya Marekani kwa siasa zake za kuchochea na kushadidisha mgogoro wa Rasi ya Korea.
-
China mwenyeji wa kongamano la "Amani ya Mashariki ya Kati" kwa lengo la kuipatia ufumbuzi kadhia ya Palestina
Dec 11, 2017 23:05Waziri wa Mambo ya Nje wa China ametangaza habari ya kufanyika kongamano la "Amani ya Mashariki ya Kati" kwa lengo la kutafuta suluhisho la suala la Palestina; kongamano ambalo litahudhuriwa na pande husika hivi karibuni huko Beijing.
-
Taasisi ya Rand Corporation: Marekani itashindwa katika vita baina yake na Russia na China
Dec 10, 2017 11:12Utafiti mpya uliofanywa na taasisi ya Rand Corporation unaonyesha kuwa iwapo kutatokea vita na mapigano ya kijeshi Marekani ndiyo itakayopata hasara kubwa mkabala na Russia na China.
-
Manuva ya kijeshi ya China katika pwani ya Djibouti
Nov 28, 2017 09:17Duru za China zimetangaza habari ya kufanyika manuva ya kijeshi ya nchi hiyo katika pwani ya Djibouti iliyoko katika Pembe ya Afrika.
-
Jumatatu, Novemba 20, 2017
Nov 19, 2017 23:16Leo ni Jumatatu tarehe Mosi Mfunguo 6 Rabiul Awwal 1439 Hijria, sawa na tarehe 20 Novemba, 2017 Milaadia.
-
China: Myanmar na Bangladesh zishirikiane kutatua matatizo ya Waislamu wa Rohingya
Nov 19, 2017 04:12Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi amezitaka serikali za Myanmar na Bangladesh kutatua matatizo ya Waislamu wa Rohingya, badala ya kusubiri utatuzi wa jamii ya kimataifa katika uwanja huo.
-
Makubaliano ya China na Korea Kusini kwa ajili ya kumaliza mgogoro wa eneo la Peninsula ya Korea
Nov 02, 2017 06:01Wizara ya Mambo ya Nje ya China imetangaza kufikiwa makubaliano kati ya nchi hiyo na Korea Kusini kwa ajili ya kupanua mahusiano ya pande mbili sambamba na kutatuliwa mgogoro wa eneo la Peninsula ya Korea kupitia udiplomasia.