Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

China

  • China yazindua ndege kubwa zaidi inayoweza kutua nchi kavu na majini

    China yazindua ndege kubwa zaidi inayoweza kutua nchi kavu na majini

    Dec 25, 2017 04:13

    China imezindua ndege ya "Jiaolong" AG600 ambayo ni ndege kubwa zaidi duniani inayoweza kutua nchi kavu na majini.

  • Russia yaionya Marekani kuhusu kuchochea mgogoro wa Korea

    Russia yaionya Marekani kuhusu kuchochea mgogoro wa Korea

    Dec 11, 2017 23:06

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameionya Marekani kwa siasa zake za kuchochea na kushadidisha mgogoro wa Rasi ya Korea.

  • China mwenyeji wa kongamano la

    China mwenyeji wa kongamano la "Amani ya Mashariki ya Kati" kwa lengo la kuipatia ufumbuzi kadhia ya Palestina

    Dec 11, 2017 23:05

    Waziri wa Mambo ya Nje wa China ametangaza habari ya kufanyika kongamano la "Amani ya Mashariki ya Kati" kwa lengo la kutafuta suluhisho la suala la Palestina; kongamano ambalo litahudhuriwa na pande husika hivi karibuni huko Beijing.

  • Taasisi ya Rand Corporation: Marekani itashindwa katika vita baina yake na Russia na China

    Taasisi ya Rand Corporation: Marekani itashindwa katika vita baina yake na Russia na China

    Dec 10, 2017 11:12

    Utafiti mpya uliofanywa na taasisi ya Rand Corporation unaonyesha kuwa iwapo kutatokea vita na mapigano ya kijeshi Marekani ndiyo itakayopata hasara kubwa mkabala na Russia na China.

  • Manuva ya kijeshi ya China katika pwani ya Djibouti

    Manuva ya kijeshi ya China katika pwani ya Djibouti

    Nov 28, 2017 09:17

    Duru za China zimetangaza habari ya kufanyika manuva ya kijeshi ya nchi hiyo katika pwani ya Djibouti iliyoko katika Pembe ya Afrika.

  • Jumatatu, Novemba 20, 2017

    Jumatatu, Novemba 20, 2017

    Nov 19, 2017 23:16

    Leo ni Jumatatu tarehe Mosi Mfunguo 6 Rabiul Awwal 1439 Hijria, sawa na tarehe 20 Novemba, 2017 Milaadia.

  • China: Myanmar na Bangladesh zishirikiane kutatua matatizo ya Waislamu wa Rohingya

    China: Myanmar na Bangladesh zishirikiane kutatua matatizo ya Waislamu wa Rohingya

    Nov 19, 2017 04:12

    Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi amezitaka serikali za Myanmar na Bangladesh kutatua matatizo ya Waislamu wa Rohingya, badala ya kusubiri utatuzi wa jamii ya kimataifa katika uwanja huo.

  • Makubaliano ya China na Korea Kusini kwa ajili ya kumaliza mgogoro wa eneo la Peninsula ya Korea

    Makubaliano ya China na Korea Kusini kwa ajili ya kumaliza mgogoro wa eneo la Peninsula ya Korea

    Nov 02, 2017 06:01

    Wizara ya Mambo ya Nje ya China imetangaza kufikiwa makubaliano kati ya nchi hiyo na Korea Kusini kwa ajili ya kupanua mahusiano ya pande mbili sambamba na kutatuliwa mgogoro wa eneo la Peninsula ya Korea kupitia udiplomasia.

  • Jumapili, Oktoba 1, 2017

    Jumapili, Oktoba 1, 2017

    Sep 30, 2017 23:03

    Leo ni Jumapili tarehe 10 Mfunguo Nne Muharram 1439 Hijria, mwafaka na tarehe Mosi Oktoba 2017 Miladia.

  • Meli za kivita za China, Russia zaanza mazoezi karibu na Korea Kaskazini

    Meli za kivita za China, Russia zaanza mazoezi karibu na Korea Kaskazini

    Sep 18, 2017 09:46

    Meli za kivita za China na Russia zimeanza mazoezi ya pamoja ya kijeshi karibu na Korea Kaskazini huku kukiwa na wasiwasi kuwa mvutano baina ya Marekani na Korea Kaskazini unaweza kugeuka na kuwa makabiliano ya ana kwa ana ya kijeshi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS