-
China yawapiga marufuku raia wake kwenda Korea Kusini, Pyongyang nayo yainyoshea kidole Marekani
May 06, 2017 11:06Hatua ya Korea Kusini ya kukubali kuweka ngao ya kisasa ya makombora aina ya THAAD ya Marekani ndani ya ardhi ya nchi hiyo, imewafanya viongozi wa serikali ya China kuwapiga marufuku raia wake kufanya safari ndani ya taifa hilo jirani.
-
China yaijibu Korea Kaskazini baada ya malalamiko ya Pyongyang dhidi yake
May 05, 2017 02:44China imetoa jibu na radiamali kwa ripoti kali iliyotolewa na Shirika rasmi la Habari la Korea Kaskazini dhidi yake na kueleza kuwa siasa zake kuhusiana na Pyongyang daima zimekuwa za insafu na usawa na zisizo za nia mbaya.
-
China na Russia: Mgogoro wa Peninsula ya Korea, utatatuliwa kidiplomasia mbali na vita
May 01, 2017 23:56Balozi wa Russia nchini China amesema kuwa, mgogoro wa nyuklia wa Peninsula ya Korea, utatatuliwa kwa njia za kidiplomasia mbali na nguvu za kijeshi.
-
Onyo kali la China kwa Marekani kuhusu kuanzisha vita dhidi ya Korea Kaskazini
Apr 30, 2017 02:59Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi ameionya Marekani kutochukua hatua yoyote ya ya kichokozi dhidi ya Korea Kaskazini.
-
Indhari ya Korea Kaskazini kwa China kuhusiana na vikwazo vya kiuchumi dhidi yake
Apr 23, 2017 08:13Serikali ya Korea Kaskazini imeionya China kwamba, ikiwa itaendeleza vikwazo vya kiuchumi dhidi yake, basi uhusiano wa nchi hizo mbili utapata madhara makubwa.
-
Russia na China zatuma meli zao za kijeshi karibu na eneo zilipo meli za US, Korea
Apr 17, 2017 23:36Russia na China zimetuma meli zao za kijeshi katika eneo zilipo meli za Marekani karibu na pwani ya Korea Kaskazini kwa lengo la kufuatilia nyendo za meli za Marekani katika eneo hilo.
-
Takwa la China kwa Marekani kuhusu ngao ya makombora ya THAD katika ardhi ya Korea Kusini
Apr 03, 2017 02:58Katika hali ambayo siku ya Alkhamisi ya wiki hii, Rais Donald Trump wa Marekani atakuwa mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China huko Florida, tofauti za nchi mbili juu ya masuala mbalimbali ya kiusalama na kibiashara zimeendelea kuongezeka.
-
Waislamu China marufuku kuwa na ndevu ndefu, niqab
Apr 01, 2017 23:36Serikali ya China imepiga marufuku wanaume Waislamu kufuga ndevu ndefu na wanawake Waislamu kuvaa niqabu katika eneo la Xinjiang lenye Waislamu karibu milioni 10 wa kabila la Uigur.
-
Korea Kusini yaishtaki China Shirika la Biashara Duniani
Mar 21, 2017 03:23Waziri wa Biashara wa Korea Kusini Joo Hyung-hwan ametangaza kuwa nchi yake imewasilisha mashtaka dhidi ya China katika Shirika la Biashara Duniani (WTO) kutokana na vizuizi ilivyowekewa na Beijing katika sekta za biashara na utalii kulalamikia uwekaji mfumo wa makombora wa Marekani THAAD katika ardhi ya Korea Kusini.
-
China: Beijing iko tayari kushiriki katika juhudi za kurejesha amani CAR
Mar 17, 2017 12:10Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa amesisitiza kuwa nchi yake iko tayari kushiriki katika juhudi za kurejesha amani na utulivu katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.