-
100 wapoteza maisha kutokana na mafuriko China
Jul 21, 2016 09:46Watu zaidi ya 100 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha kaskazini mwa China.
-
China na Marekani zatunishiana misuli juu ya Bahari ya China Kusini
Jul 13, 2016 23:38China imeionya Marekani na waitifaki wake katika eneo dhidi ya kugeuza kadhia ya Bahari ya China Kusini kuchochea taharuki na vita.
-
112 wapoteza maisha katika mafuriko nchini China
Jul 05, 2016 08:58Kwa akali watu 112 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko na vimbunga vilivyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katikati na kusini mwa China.
-
Watu 100 wapoteza maisha nchini China kwa kimbunga
Jun 24, 2016 09:50Watu 100 wameripotiwa kupoteza maisha yao katika ajali ya upepo mkali ulioyakumba maeneo ya mashariki mwa China.
-
China yawazuia tena Waislamu wa Xinjiang kufunga Saum ya Ramadhani
Jun 07, 2016 23:29Serikali ya China, kwa mara nyingine, imewaamuru wanafunzi, wafanya kazi wa umma na hata wakaazi wa kawaida katika eneo lenye Waislamu wengi la Xinjiang kutofunga Saum ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
-
Nchi za Afrika zaiunga mkono China katika mzozo na Marekani
Jun 03, 2016 10:03Naibu mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) Erastus Mwencha ameunga mkono msimamo wa China katika suala la bahari ya kusini ya China na kutoa wito kwa nchi husika kutoa fursa ya kuanza mazungumzo kwa ajili ya kutatua suala hilo.
-
Iran: Dunia iungane katika vita dhidi ya ugaidi
Apr 29, 2016 23:38Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeonya kuhusu kuenea ugaidi na misimamo mikali duniani na kusema jamii ya kimataifa inapasa kushirikiana kukabiliana na uovu huo.