-
Msambao wa COVID-19 washadidisha baa la njaa ulimwenguni
Apr 29, 2021 08:05Msambao wa virusi vya corona unaelezwa kuwa umeshadidisha baa la njaa katika maeneo mbalimbali ulimwenguni.
-
Hali yazidi kuwa tete India, vifo vya Corona vyapindukia laki 2
Apr 29, 2021 02:23India inaendelea kusumbuliwa na wimbi kubwa la maambukizi ya virusi vya Corona, huku idadi ya watu walioaga dunia kwa maradhi ya Covid-19 nchini humo ikipindukia laki mbili.
-
Iran yaweka rekodi mpya ya vifo vya Corona, kirusi cha Afrika Kusini charipotiwa nchini
Apr 27, 2021 13:05Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeweka rekodi mpya ya vifo vya Covid-19 baada ya watu 462 kufariki dunia kwa ugonjwa huo hapa nchini katika kipindi cha saa 24 zilizopita.
-
Kwa muda wa siku tatu, watu zaidi ya milioni moja wameambukizwa corona nchini India
Apr 26, 2021 07:38Watu zaidi ya milioni moja wameambukizwa virusi vya corona katika kipindi cha siku tatu nchini India.
-
Zarif: Ugaidi wa kimatibabu wa Marekani umezuia utoaji chanjo za corona duniani
Apr 25, 2021 07:18Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema sera ya vikwazo na ugaidi wa kimatibabu ya Marekani imepelekea kutofanikiwa kampeni ya utoaji chanjo za kupambana na corona duniani.
-
Nusu ya chanjo bilioni 1 za corona imetolewa katika nchi tatu pekee duniani
Apr 25, 2021 06:12Zaidi ya dozi bilioni moja za chanjo za kukabiliana na ugonjwa wa Covid-19 zimekwishapeanwa katika maeneo mbalimbali ya dunia kufikia sasa, lakini zaidi ya asilimia 50 ya chanjo hizo zimetolewa katika nchi tatu pekee.
-
Moto waua watu 55 katika hospitali ya wagonjwa wa corona mjini Baghdad, Iraq
Apr 25, 2021 03:22Watu wasiopungua 55 wameaga dunia katika ajali ya moto iliyosababishwa na kuripuka mitungi ya oksijini kwenye hospitali moja ya wagonjwa wa corona katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad.
-
Rais wa Ufaransa na viongozi kadhaa wa Afrika wahudhuria mazishi ya Rais Deby wa Chad
Apr 24, 2021 03:20Mazishi ya rais Idriss Deby wa Chad yalifanyika jana Ijumaa katika mji mkuu wa nchi hiyo N'Djamena, ambapo maelfu ya watu walitoa heshima zao wa mwisho wa kiongozi huyo aliyefariki kutokana na majeraha aliyopata katika mstari wa mbele wa vita wakati akiongoza jeshi lake kukabiliana na shambulio la waasi.
-
Mashirika 40 ya kutetea haki za binadamu yamtakaka Biden afutilie mbali vikwazo dhidi ya Iran
Apr 23, 2021 02:23Huku virusi vya corona vikiwa vinaenea kwa kasi katika maeneo tofauti ya duniani ikiwemo Iran, hatua ya Marekani ya kuiwekea vikwazo vya kidhalimu na vya upande mmoja Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vinazuia juhudi za Tehran za kununua katika masoko ya kimataifa bidhaa na vifaa vya mataibabu kwa ajili ya kupambana na virusi hivyo.
-
Rais Ramaphosa ataka Afrika ianze kujizalishia chanjo ya Covid-19
Apr 13, 2021 06:51Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesema bara la Afrika linahitaji ujuzi na uwezo wa kujitengenezea chanjo za kupambana na ugonjwa wa Covid-19, wakati huu ambapo bara hilo linakumbwa na uhaba mkubwa wa chanjo hizo.