-
Jumatano, 13 Novemba, 2024
Nov 13, 2024 02:16Leo ni Jumatano tarehe 11 Jamadil Awwal 1446 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe 13 Novemba 2024.
-
Mahakama ya Nigeria yawatia hatiani wanamgambo 125 wa kundi la kigaidi la Boko Haram
Jul 29, 2024 02:33Mahakama nchini Nigeria imewatia hatiani wanamgambo 125 wa kundi la kigaidi la Boko Haram na wafadhili wa kifedha wa msururu wa makosa yanayohusiana na ugaidi.
-
Aliyeongoza mashambulizi ya kigaidi kusini mashariki mwa Iran, atiwa mbaroni
Apr 06, 2024 10:35Msemaji wa Komandi Kuu ya Jeshi la Polisi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza habari ya kutiwa mbaroni gaidi aliyeongoza mashambulizi ya kigaidi huko kusini mashariki mwa Iran. Gaidi huyo ametiwa mbaroni kwenye mji wa Karaj wa mkoa wa Alborz wa magharibi mwa Tehran.
-
Daesh yatangaza imehusika ya shambulizi la kigaidi Kerman, Iran
Jan 05, 2024 06:07Kundi la kigaidi la Daesh limedai kuhusika na milipuko miwili iliyoua watu 84 na kujeruhi wengine wengi katika kumbukumbu ya kamanda mkuu wa kupambana na ugaidi, Luteni Jenerali Qassem Soleimani katika mji wa Kerman, kusini mashariki mwa Iran.
-
Kumbukumbu ya mwaka wa sita wa ushindi dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh nchini Iraq
Dec 11, 2023 08:02Desemba 10, 2023, imesadifiana na kumbukumbu ya miaka sita ya ushindi wa Iraq dhidi ya magaidi wa kundi la ISIS au Daesh.
-
Kamanda wa jeshi la Iraq: Hatuhitaji wanajeshi wa kigeni wawepo nchini
Sep 28, 2023 14:17Kamanda wa operesheni za pamoja za vikosi vya ulinzi vya Iraq amesema: "nchi hii ina uwezo unaohitajika wa kupambana na magaidi na wala haihitaji kuwepo askari wa kigeni".
-
Wasiwasi wa UN juu ya kuwepo na kuongezeka harakati za DAESH (ISIS) nchini Afghanistan
Aug 29, 2023 02:44Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena limeelezea kwamba linatiwa wasiwasi na kuwepo na kuongezeka kwa shughuli za kundi la kigaidi la DAESH (ISIS) nchini Afghanistan.
-
Kan'ani: Kuwashambulia mazuwari wasio na hatia ni kitendo cha jinai
Aug 14, 2023 13:57Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema: Kuwashambulia mazuwari wasio na hatia katika haram ya Ahlul Bayt ni kitendo cha kijinai.
-
Viongozi 6 hatari wa Daesh watiwa nguvuni Iraq
Jul 04, 2023 04:22Idara ya Intelijinsia ya Iraq imetangaza kuwatia mbaroni watu sita wanaotajwa kuwa magaidi hatari sana wa kundi la Daesh (ISIS) katika mkoa wa Nineveh nchini humo.
-
Al Hashdu Shaabi ya Iraq yawatia mbaroni viongozi 3 wa Daesh
Jun 24, 2023 11:18Harakati ya wapiganaji wa kujitolea ya wananchi wa Iraq maarufu kama Al Hashdu al Shaabi (PMU) imetangaza kuwatia mbaroni viongozi watatu wa kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) katika mkoa wa Kirkuk nchini humo.