Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Daesh

  • Sisitizo la Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia kuwa Marekani inaunga mkono magaidi wa Daesh na Al Qaeda

    Sisitizo la Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia kuwa Marekani inaunga mkono magaidi wa Daesh na Al Qaeda

    Jun 07, 2023 10:04

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesema Marekani inaunga mkono makundi ya kigaidi nchini Afghanistan kwa lengo la kuliyumbisha eneo.

  • Sura ya Az-Zumar, aya ya 51-53 (Darsa ya 850)

    Sura ya Az-Zumar, aya ya 51-53 (Darsa ya 850)

    May 22, 2023 12:02

    Wasikilizaji wapenzi wa Darsa ya Qur’ani, Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Bismillahir Rahmanir Rahim. Hamdu na sifa zote njema zinamstahikia Allah SW, na rehma na amani zimshukie Mtume wake Mtukufu na Aali zake watoharifu.

  • Kiongozi wa Daesh auawa katika operesheni ya jeshi la Uturuki nchini Syria

    Kiongozi wa Daesh auawa katika operesheni ya jeshi la Uturuki nchini Syria

    May 01, 2023 06:55

    Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan alitangaza jana Jumapili jioni kwambau kiongozi wa kundi la kigaidi la ISIS (Daesh), ameuawa katika operesheni ya kijasusi ya Uturuki nchini Syria.

  • Mgombea urais wa chama tawala cha Democratic akiri: Marekani ndiyo iliyounda kundi la kigaidi la Daesh

    Mgombea urais wa chama tawala cha Democratic akiri: Marekani ndiyo iliyounda kundi la kigaidi la Daesh

    Apr 23, 2023 01:33

    Robert F. Kennedy Jr ambaye ametangaza nia yake ya kugombea katika uchaguzi wa urais mwaka ujao nchini Marekani, amekiri kwamba nchi hiyo ndiyo iliyounda kundi la kigaidi la Daesh (ISIS).

  • Chanzo cha usalama Iraq kimeonya: Daesh wanarejeshwa al Anbar chini ya usimamizi wa Marekani

    Chanzo cha usalama Iraq kimeonya: Daesh wanarejeshwa al Anbar chini ya usimamizi wa Marekani

    Apr 10, 2023 07:52

    Chanzo cha ngazi za juu cha usalama katika mkoa wa al Anbar nchini Iraq kimetangaza kwamba maafisa wa serikali ya nchi hiyo wanapaswa kuwa na wasiwasi wa kujirudia hali ya mwaka 2014 magharibi mwa mkoa huo na kurudi kwa wapiganaji wa kundi la Daesh (ISIS).

  • Taliban: Waafghani ndio walengwa wakuu wa mashambulio ya DAESH (ISIS)

    Taliban: Waafghani ndio walengwa wakuu wa mashambulio ya DAESH (ISIS)

    Mar 28, 2023 11:42

    Naibu Waziri Mkuu wa serikali ya mpito ya Taliban anayehusika na masuala ya kisiasa amesema, wananchi wa Afghanistan ndio walengwa wakuu wa hujuma na mashambulio ya kundi la kigaidi la DAESH (ISIS).

  • Afisa wa jeshi la Iraq: Zaidi ya wanachama 400 wa ISIS bado wako Iraq

    Afisa wa jeshi la Iraq: Zaidi ya wanachama 400 wa ISIS bado wako Iraq

    Mar 13, 2023 07:23

    Afisa wa jeshi la Iraq amesema kuwa kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) bado lina wapiganaji 400 hadi 500 katika nchi hiyo.

  • Iraq: Katika siku za usoni tutakuja kukabiliwa na kizazi kipya cha DAESH (ISIS)

    Iraq: Katika siku za usoni tutakuja kukabiliwa na kizazi kipya cha DAESH (ISIS)

    Mar 06, 2023 09:59

    Msemaji wa Kamandi Kuu ya vikosi vya ulinzi vya Iraq ametoa indhari kwa kusema: "katika miaka michache ijayo, tutakabiliana na kizazi kipya cha magaidi wa DAESH (ISIS), tukiwa hatuna taarifa zozote za kukitambua kizazi hicho".

  • Indhari ya kuenea tishio la Daesh pasi na kutajwa waungaji mkono wake

    Indhari ya kuenea tishio la Daesh pasi na kutajwa waungaji mkono wake

    Feb 14, 2023 02:26

    Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameonya katika ripoti yake ya kiduru kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwamba, licha ya hasara na pigo kubwa lililopita kundi la kigaidi la Daesh katika miaka ya hivi karibuni lakini tishio la la kundi hilo la kigaidi lingali linaongezeka kwa ulimwengu.

  • Onyo la Putin kuhusu kukithiri kwa vitisho vya kigaidi nchini Afghanistan

    Onyo la Putin kuhusu kukithiri kwa vitisho vya kigaidi nchini Afghanistan

    Feb 12, 2023 02:34

    Rais wa Russia, Vladimir Putin amesema kwamba: "Tishio la ugaidi limeongezeka baada ya Marekani kuondoka Afghanistan."

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS