-
Iraq yatahadharisha kuhusu hatari ya mashambulizi ya wanawake Madaesh katika nchi mbalimbali
Aug 05, 2019 01:24Mkurugenzi wa Kitengo cha Kupambana na Ugaidi katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Iraq ametahadharisha kuhusu hatari ya wanawake wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh wanaoelekea katika baadhi ya nchi za Kiarabu na zisizo za Kiarabu kwa ajili ya kutekeleza mashambulizi ya kigaidi.
-
Trump atishia kuwaachilia magaidi wa Daesh warejee katika nchi za Ulaya
Aug 02, 2019 11:57Marekani imekuwa na nafasi muhimu katika kubuni na kueneza shughuli za makundi ya kigaidi likiweo la Daesh katika mgogoro wa Syria kwa lengo la kuindoa madarakani serikali halali ya nchi hiyo.
-
UN: Magaidi elfu 30 wa kundi la Daesh wangali hai
Jul 30, 2019 11:04Umoja wa Mataifa unakadiria kuwa wanamgambo wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh elfu 30 wangali hai.
-
Vyombo vya ujasusi vya Iraq: Kiongozi wa Daesh yuko Syria, amepooza viungo vya mwili
Jul 30, 2019 02:59Kundi la Vipanga (Falcons) la shirika la upelelezi la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Iraq limetangaza kuwa, kiongozi wa kundi la kigaidi la Daesh, Abu Bakr al Baghdadi amejificha Syria na angali na satua baina ya wafuasi wa kundi hilo japokuwa amepooza viungo.
-
Waziri wa Mafuta wa Daesh (ISIL) auawa na askari wa Iraq nchini Syria
Jul 20, 2019 08:02Kamanda wa ngazi ya juu wa kundi la kigaidi la Daesh ameangamizwa na vikosi vya kiintelijensia vya Iran katika mkoa wa Deir Ezzur, mashariki mwa Syria.
-
Wabunge wa Iraq: Ubalozi wa Marekani mjini Baghdad ni kituo cha Mossad na Daesh
Jul 15, 2019 11:51Mbunge mwenye ushawishi mkubwa wa Iraq amefichua kwamba, ubalozi wa Marekani mjini Baghdad unajihusisha na harakati zinazotia wasiwasi na kwamba maajenti wa shirika la ujasusi la Israel, Mossad, na kundi la kigaidi la Daesh wamekuwa wakionekana wakiingia na kutoka katika jengo la ubalozi huo.
-
Kiongozi mmoja wa Daesh aangamizwa nchini Libya
Jul 14, 2019 02:19Kiongozi mmoja wa genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) ameangamizwa katika shambulizi la anga wapiganaji wanaoijiita Jeshi la Taifa la Libya wanaoongozwa na Jenerali Khalifa Haftar.
-
Waziri Mkuu wa Iraq asisitiza kuungwa mkono oparesheni dhidi ya ugaidi katika mipaka ya Syria
Jul 07, 2019 07:48Waziri Mkuu wa Iraq amesisitiza kuendelezwa oparsheni za jeshi la ulinzi la nchi hiyo dhidi ya magaidi wa Daesh katika mpaka wa nchi hiyo na Syria.
-
Kiongozi wa Daesh (ISIS) aliyekuwa akitoa hukumu za kifo, atiwa mbaroni Mosul
Jul 06, 2019 04:21Wizara ya Mambo ya Ndani ya Iraq imetangaza kwamba, kiongozi wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) aliyekuwa akihusika kutoa hukumu za kifo, ametiwa mbaroni mjini Mosul.
-
Polisi ya Ulaya yatahadharisha kuhusu hatari ya Madaesh wa Uingereza barani Ulaya
Jul 01, 2019 07:48Polisi ya Ulaya (Europol) imetahadharisha kuhusu idadi kubwa ya raia wa Uingereza wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh walioko Syria na Iraq na hatari ya kurejea kwao huko Uingereza.