-
Magaidi 42 wa Daesh wauawa katika eneo la Ziwa Chad
Jun 23, 2019 13:49Kikosi cha Pamoja cha Nchi Zinazopakana na Ziwa Chad (MNJTF) kimefanikiwa kuangamiza makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) katika kisiwa cha Doron Naira kwenye ziwa hilo.
-
Jeshi la Marekani latumia helikopta kuwaokoa magaidi wa Daesh Afghanistan
Jun 22, 2019 13:17Jeshi la Marekani limetumia helikopta zake kuwaokoa wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) nchini Afghanistan, kufuatia operesheni kali ya wapiganaji wa Taliban ya kulitokomeza genge hilo la ukufurishaji mashariki mwa nchi.
-
Magaidi wa Daesh wadai kuua makumi ya askari nchini Nigeria
Jun 15, 2019 03:53Kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) katika eneo la Magharibi mwa Afrika (ISWA) limedai kwamba limeua makumi ya askari wa Nigeria huko kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Iraq yawakabidhi watoto zaidi ya 188 wa magaidi wa Daesh wenye asili ya Uturuki
May 30, 2019 04:20Iraq imewakabidhi zaidi ya watoto 188 wa Kituruki ambao wazazi wao wametiwa mbaroni kutokana na kuwa wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh na makundi mengine ya kigaidi.
-
Iraq yawahukumu kifo raia wa Ufaransa waliojiunga na ISIS (Daesh)
May 27, 2019 04:18Mahakama nchini Iraq imewahukumu adhabu ya kunyongwa raia watatu wa Ufaransa, waliopatikana na hatia ya kujiunga na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS).
-
Daesh yatangaza kuhusika na mauaji ya askari 28 wa Niger
May 17, 2019 07:34Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) limetangaza kuhusika na shambulio dhidi ya msafara wa magari ya jeshi la Niger na kuua askari 28 wa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Magaidi wa Daesh wadai wameua askari 11 kaskazini mwa Nigeria
May 12, 2019 06:49Wanajeshi 11 wa serikali wameuawa kaskazini mashariki mwa Nigeria kufuatia shambulio la wanamgambo wanaosadikiwa kuwa wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS).
-
Afisa wa zamani wa Marekani: Serikali ya Trump inaficha ukweli wa nafasi muhimu ya Iran katika kupambana na ugaidi
May 07, 2019 13:43Mshauri wa zamani katika masuala ya kimataifa nchini Marekani amesema kuwa, serikali ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo inafanya njama za kuficha nafasi chanya na muhimu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mapambano dhidi ya makundi ya kigaidi.
-
Jeshi la Iraq lafelisha njama za genge la Daesh (ISIS) za kutaka kurejea tena nchini humo
May 05, 2019 02:27Maafisa usalama nchini Iraq wametangaza kwamba, kikosi cha upelelezi cha nchi hiyo kimefanikiwa kufelisha njama za magaidi wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) kwa ajili ya kuandaa mazingira ya kurejea tena ndani ya nchi hiyo.
-
Jasusi aliyesababisha mauaji ya kikatili ya watu 40 Iraq atiwa mbaroni
May 01, 2019 14:03Shirika la Ujasusi wa Kijeshi la Iraq limetangaza habari ya kutiwa mbaroni jasusi mmoja wa genge la ukufurishaji la Daesh (ISIS) mjini Mosul ambaye alisababisha watu 40 kuuliwa kikatili nchini humo.