-
Ayatullah Sistani: Niliwataka Hashdu-Sha'abi wawalinde Masuni katika vita na DAESH (ISIS)
Oct 30, 2018 07:59Ayatullah Ali Sistani, marjaa taqlidi wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq amesema: Katika vita na Daesh, alivitaka vikosi vya jeshi la kujitolea nchini humo la Hashdu-Sha'abi viwalinde Waislamu wa Kisuni raia wa nchi hiyo.
-
Magaidi wa ISIS walijizatiti vilivyo Iraq, maghala mengine ya kemikali yagunduliwa Salahuddin, al Anbar
Oct 27, 2018 01:22Vikosi vya usalama vya Iraq vimegundua maghala mengine ya silaha za kemikali za genge la kigaidi la Daesh (ISIS) katika mikoa ya Salahuddin na al Anbar, jambo ambalo linathibitisha ni kiasi gani magaidi hao walikuwa wamejizatiti kwa silaha za kila namna hasa za kemikali na za mauaji ya umati.
-
Al Baghdadi aamuru kunyongwa mamia ya magaidi wa Daesh
Oct 11, 2018 08:08Abubakar al Baghdadi kiongozi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh ametoa amri ya kunyongwa magaidi 320 walio chini ya usimamizi wake kwa tuhuma za kufanya usaliti na kupelekea kupata kipigo kikali kundi hilo la kigaidi huko Iraq na Syria.
-
Uchunguzi: Libya inakabiliwa na kundi jipya la Daesh
Oct 10, 2018 06:26Uchunguzi uliofanywa na mtandao wa al Wasat nchini Libya umebaini kuwa, hali ya kisiasa na kiusalama ya nchi hiyo inaanda mazingira ya kujitokeza kundi jipya la Daesh na kutahadharisha kuwa yumkini nchi hiyo ikawa makimbilio salama ya vinara wa makundi yenye misimamo ya kufurutu mipaka kutoka pembe mbalimbali za dunia.
-
Lebanon yasambaratisha njama ya Daesh ya kuweka sumu katika maji ya kunywa
Sep 28, 2018 07:56Vyombo vya usalama vya Lebanon vimetangaza habari ya kusambaratishwa njama ya genge la kigaidi la Daesh (ISIS) ambalo lilitaka kuweka sumu ndani ya maji ya kunywa ya wanajeshi wa nchi hiyo.
-
Makundi ya kigaidi ya DAESH (ISIS) na Al-Ahvaziyyah yameshirikiana katika jinai ya Ahvaz
Sep 24, 2018 03:49Baada ya kupita siku moja tu tangu lilipotokea shambulio la kigaidi katika mji wa Ahvaz kusini magharibi mwa Iran zimepatikana taarifa mpya kuhusiana na shambulio hilo.
-
Mahakama Iraq yawafunga maisha jela magaidi wa ISIS
Sep 03, 2018 02:42Mahakama nchini Iraq imewafunga kifungo cha maisha gerezani watu wanne ambao wamepatikana na hatia ya kujiunga na kundi la magaidi wakufurishaji wa ISIS au Daesh.
-
Magaidi wa DAESH (ISIS) wamenyonga zaidi ya watu elfu tano nchini Syria
Aug 30, 2018 07:54Kituo kiitwacho Uangalizi wa Haki za Binadamu nchini Syria kimeripoti kuwa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh limeua kwa kuwanyonga watu zaidi ya elfu tano nchini humo.
-
Uingereza yatahadharisha juu ya kubadilika genge la Daesh kuwa mtandao wa siri
Aug 26, 2018 02:26Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza amesema kuwa, kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS), limegeuka na kuwa mtandao wa siri.
-
Amoli Larijani: Marekani kuunda ISIS ni mfano wa ukiukwaji haki za binadamu + Video
Aug 05, 2018 15:39Mkuu wa Vyombo vya Mahakama vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Mbinu ambazo Marekani na Wamagharibi wanazitumia hazina maana nyingine zaidi ya ukiukwaji haki za binadamu."