-
Indonesia yalivunja kundi kubwa lenye mahusiano na magaidi wa Daesh
Aug 01, 2018 15:16Mahakama ya Indonesia imevunja kundi kubwa 'Jamaatu-Nashratu-Daulah' lenye mafungamano na kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) kwa tuhuma za kuendesha harakati za kigaidi ndani ya nchi hiyo.
-
Filamu ya Iran "Paradise" yaingia fainali tamasha la filamu la Out Of The Can, Uingereza
Jul 25, 2018 01:19Filamu ya Paradise iliyotengenezwa na Muirani, Ali Atshani imefanikiwa kuingia fainali ya Tamasha la Pili la Kimataifa la Filamu la Out Of The Can nchini Uingereza.
-
Wanachama 300 wa Daesh na Teleban wauawa Afghanistan
Jul 21, 2018 14:29Msemaji wa Gavana wa Mkowa wa Jowzjan, kaskazini mwa Afghanistan amesema kuwa karibu watu 300 wameuawa katika mapigano yaliyoibuka hivi karibuni kati ya wanachama wa kundi la Taleban na Daesh, mkoani hapo.
-
Iran yawakamata magaidi wengine wa Daesh kusini mwa nchi
Jul 17, 2018 07:13Maafisa usalama wa Jamhuri ya Kiislamu wa Iran wamefanikiwa kuwatia mbaroni wanachama kadhaa wa genge la kigaidi lenye mfungamano na kundi la ukufurishaji la Daesh (ISIS) kusini magharibi mwa nchi.
-
Assad: Syria yaanzisha mkakati wa ujenzi mpya baada ya magaidi kutimuliwa
Jul 10, 2018 13:47Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kipaumbele chake ni ujenzi mpya wa nchi hiyo baada ya kutimuliwa magaidi walioanzisah vita nchini humo mwaka 2011 kwa uungaji mkono wa kigeni.
-
Iran yawakamata magaidi 32 wa ISIS wakiwa wanapanga njama
Jul 08, 2018 12:47Mwendesha Mashtaka wa Tehran amesema magaidi wasiopungua 32 wa kundi la kigaidi la ISIS au Daesh wamekamatwa nchini Iran hivi karibuni.
-
Jeshi la Syria lakomboa vijiji zaidi vilivyokuwa vimetekwa na magaidi wa ISIS mkoani Daraa
Jul 07, 2018 03:20Jeshi la Syria limewatimua magaidi na kukomboa kikamilifu vijiji kadhaa katika mkoa wa kusini magharibi wa Daraa karibu na mpaka wa Jordan kwa lengo la kufungua kituo cha kistratijia cha Nasib.
-
Iran kuwanyonga magaidi 8 wa ISIS waliohusika na hujuma za kigaidi mjini Tehran
Jul 07, 2018 02:39Mahakama nchini Iran imepitisha hukumu ya kuwanyonga magaidi wanane wa kundi la kigaidi la Daesh ambao walihusika katika hujuma dhidi ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, na Haram Takatifu ya Muasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Imam Khomeini MA, mwaka 2017 mjini Tehran.
-
Ndege za kijeshi za Iraq zaangamiza magaidi 30 wa Daesh, Salahuddin
Jul 04, 2018 03:51Ndege za kijeshi za Iraq zimefanya mashambulizi ya anga na kufanikiwa kuangamiza wanachama wasiopungua 16 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh, katika mkoa wa Salahuddin.
-
Ndege za kivita za Marekani zawasaidia makamanda wa Daesh Syria
Jun 26, 2018 04:21Ndege za kivita za muungano eti wa kimataifa dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh unaoongozwa na Marekani zimewasafarisha makamanda wawili wa kundi la kigaidi la Daesh kutoka eneo a Tuimin hadi katika kituo cha Marekani kilichoko katika mji wa al Shaddadah mkoani Hasakah nchini Syria.