Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Daesh

  • Ndege za kivita za Marekani zawasaidia makamanda wa Daesh Syria

    Ndege za kivita za Marekani zawasaidia makamanda wa Daesh Syria

    Jun 25, 2018 23:51

    Ndege za kivita za muungano eti wa kimataifa dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh unaoongozwa na Marekani zimewasafarisha makamanda wawili wa kundi la kigaidi la Daesh kutoka eneo a Tuimin hadi katika kituo cha Marekani kilichoko katika mji wa al Shaddadah mkoani Hasakah nchini Syria.

  • Taleban: Helikopta za Marekani zinawasaidia wanachama wa Daesh dhidi yetu

    Taleban: Helikopta za Marekani zinawasaidia wanachama wa Daesh dhidi yetu

    Jun 22, 2018 21:53

    Kundi la kigaidi la Taleban nchini Afghanistan limesema kwamba helikopta za kijeshi za Marekani zimekuwa zikiwasaidia wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) katika uwanja wa vita kati ya wanachama wa makundi hayo sambamba na kushambulia ngome za Taleban katika mkoa wa Nangarhar, mashariki mwa nchi hiyo.

  • Harakati ya Nujabaa: Daesh ni mradi wa Marekani kwa ajili ya kufikia malengo yake

    Harakati ya Nujabaa: Daesh ni mradi wa Marekani kwa ajili ya kufikia malengo yake

    Jun 10, 2018 12:18

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Nujaba ya nchini Iraq amesema kuwa, kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) ni njia nzuri ya Marekani kwa ajili ya kufikia malengo yake ya kikoloni na kiuchumi kupitia kisingizio cha kupambana na ugaidi katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Vitisho vya DAESH vyasababisha skuli zote za wasichana kufungwa katika jimbo la Nangarhar, Afghanistan

    Vitisho vya DAESH vyasababisha skuli zote za wasichana kufungwa katika jimbo la Nangarhar, Afghanistan

    Jun 05, 2018 09:21

    Idara ya Elimu na Mafunzo ya jimbo la Nangarhar mashariki mwa Afghanistan imetangaza kuwa skuli za wasichana jimboni humo zinafungwa kuanzia leo kufuatia vitisho vya mashambulio ya kigaidi vilivyotolewa na kundi la ukufurishaji la DAESH (ISIS).

  • Gaidi wa Daesh anayehusika na utegaji mabomu anaswa nchini Iraq

    Gaidi wa Daesh anayehusika na utegaji mabomu anaswa nchini Iraq

    Jun 02, 2018 08:59

    Kituo cha Uchunguzi cha Harakati ya Muqawama wa Kiislamu Nujaba, kimetangaza habari ya kutiwa mbaroni gaidi wa ngazi ya juu katika genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) akiwa pamoja na watu wengine watano.

  • Iran kuishtaki Marekani kwa kutumia ushahidi wa Trump

    Iran kuishtaki Marekani kwa kutumia ushahidi wa Trump

    May 30, 2018 03:40

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inajiandaa kuishtaki Marekani kwa kushiriki kwa njia isiyo ya moja kwa moja katika mashambulizi ya kigaidi ya mwaka jana hapa nchini, kwa kutumia ushahidi wa Rais Donald Trump.

  • Waziri Mkuu wa Iraq atoa amri ya kufuatiliwa magaidi wa Daesh nje ya mipaka ya Iraq

    Waziri Mkuu wa Iraq atoa amri ya kufuatiliwa magaidi wa Daesh nje ya mipaka ya Iraq

    May 22, 2018 23:01

    Waziri Mkuu wa Iraq amesisitizia ulazima wa kudhaminiwa usalama wa mipaka ya nchi hiyo na kufanyika operesheni dhidi ya wafuasi wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) nje ya mipaka ya Iraq.

  • Ndege za Marekani zashuhudiwa zikiwatumia silaha mabaki ya Daesh (ISIS) nchini Syria

    Ndege za Marekani zashuhudiwa zikiwatumia silaha mabaki ya Daesh (ISIS) nchini Syria

    May 19, 2018 09:46

    Kwa mara nyingine wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) wamepewa msaada wa silaha na askari wa Marekani na kuwawezesha kuingia eneo la wazi la kusini magharibi mwa jimbo la Deir ez-Zor nchini Syria.

  • Magaidi wa genge la Daesh na Jaishul-Hur washambuliana vikali kusini mwa Syria

    Magaidi wa genge la Daesh na Jaishul-Hur washambuliana vikali kusini mwa Syria

    May 14, 2018 22:11

    Magaidi wa makundi ya ukufurishaji ya Daesh (ISIS) na kundi la Jeishul-Hur (Jeshi huru), wameshambuliana vikali magharibi mwa mkoa wa Daraa, nchini Syria na kusababisha maafa makubwa kati yao.

  • Iran: Daesh ni silaha ya Marekani dhidi ya usalama wa Mashariki ya Kati

    Iran: Daesh ni silaha ya Marekani dhidi ya usalama wa Mashariki ya Kati

    May 13, 2018 03:12

    Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelitaja kundi la kigaidi na kitakfri la Daesh (ISIS) kama chombo cha Marekani na madola mengine ya kibeberu cha kuvuruga usalama katika eneo hili la Mashariki ya Kati.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS