Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Taa ya kijani ya Trump kwa Israel; Je vita vya Gaza vitaanza tena?

    Taa ya kijani ya Trump kwa Israel; Je vita vya Gaza vitaanza tena?

    Oct 18, 2025 02:29

    Rais Donald Trump wa Marekani ameionyesha Israel taa ya kijani ili ianzishe tena vita katika Ukanda wa Gaza.

  • Iran: Trump hawezi kuwa mtu wa kuleta amani wakati anachochea vita visivyo na mwisho

    Iran: Trump hawezi kuwa mtu wa kuleta amani wakati anachochea vita visivyo na mwisho

    Oct 15, 2025 06:03

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi amemkosoa vikali Donald Trump kwa sera yake ya kuchochea vita katika eneo la Asia Magharibi, akisema rais wa Marekani hawezi kudai anapigania kuleta amani katika eneo hili huku akifuata sera za uchokozi na kufungamana na "wahalifu wa kivita."

  • Maria Machado ashinda tuzo ya amani ya Nobel; Trump aambulia patupu

    Maria Machado ashinda tuzo ya amani ya Nobel; Trump aambulia patupu

    Oct 10, 2025 11:24

    Mwanaharakati wa upinzani wa Venezuela María Corina Machado ameshinda Tuzo ya Amani ya Nobel 2025 kwa ujasiri wa kupigania demokrasia na uchaguzi huru licha ya vitisho. Kamati ya Nobel imemsifu kwa kuunganisha upinzani.

  • Trump amhutubu Netanyahu; Daima una misimamo hasi

    Trump amhutubu Netanyahu; Daima una misimamo hasi

    Oct 06, 2025 07:28

    Rais wa Marekani, Donald Trump amemkemea vikali Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwa radimali yake hasi kwa jibu 'chanya' la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas kwa pendekezo la makubaliano ya kusitisha mapigano, ripoti imefichua.

  • Kukaribisha madola ya Ulaya jibu la HAMAS kwa mpango wa Trump; nini sababu zake?

    Kukaribisha madola ya Ulaya jibu la HAMAS kwa mpango wa Trump; nini sababu zake?

    Oct 06, 2025 02:18

    Katika hatua iliyoratibiwa, viongozi wa nchi kubwa za Ulaya wamekaribisha jibu la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina (HAMAS) kwa mpango wa Trump kuhusu Gaza.

  • Mbinu ya ulaghai ya Trump; Je, shambulio dhidi ya Qatar litachukuliwa kuwa tishio la usalama dhidi ya Marekani?

    Mbinu ya ulaghai ya Trump; Je, shambulio dhidi ya Qatar litachukuliwa kuwa tishio la usalama dhidi ya Marekani?

    Oct 04, 2025 02:26

    Trump ametoa amri ya kiutendaji akidai kuwa shambulio lolote katika ardhi ya Qatar litahesabiwa kuwa tishio la usalama kwa Marekani.

  • Pakistan: Mpango wa Trump kuhusu Ghaza ni tofauti na ulioidhinishwa na viongozi wa nchi za Kiarabu na Kiislamu

    Pakistan: Mpango wa Trump kuhusu Ghaza ni tofauti na ulioidhinishwa na viongozi wa nchi za Kiarabu na Kiislamu

    Oct 03, 2025 10:34

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan Ishaq Dar amesema mpango wa amani wa vipengele 20 uliopendekezwa na Rais wa Marekani Donald Trump kwa ajili ya Ghaza sio ule ulioidhinishwa na viongozi wa nchi za Kiarabu na Kiislamu, ikiwemo Pakistan.

  • Rais wa Colombia aendeleza kampeni ya kumkosoa Rais Trump wa Marekani

    Rais wa Colombia aendeleza kampeni ya kumkosoa Rais Trump wa Marekani

    Oct 02, 2025 10:17

    Katika siku za hivi karibuni, Rais Gustavo Petro wa Colombia, ameendeleza ukosoaji mkali dhidi ya Rais Donald Trump wa Marekani na sera za utawala wake.

  • Colombia yawatimua wanadiplomasia wa Israel kwa kuvamiwa msafara wa Sumud, yasema Trump ni wa kufungwa jela

    Colombia yawatimua wanadiplomasia wa Israel kwa kuvamiwa msafara wa Sumud, yasema Trump ni wa kufungwa jela

    Oct 02, 2025 03:25

    Colombia imewafukuza wanadiplomasia wa utawala wa kizayuni wa Israel kwa uchokozi uliofanywa na utawala huo ghasibu wa kuuvamia kijeshi msafara wa kimaataifa wa meli unaojulikana kama Sumud uliokuwa ukielekea Ukanda wa Ghaza kwa ajili ya kufikisha misaada ya kibinadamu; sambamba na hilo, serikali ya Bogota imehimiza rais wa Marekani Donald Trump afungwe jela kwa ushiriki wa Washington katika mauaji ya kimbari yanayoendelea kufanywa na jeshi la kizayuni katika eneo hilo la ardhi ya Palestina.

  • Trump awaita 'wapumbavu' washirika wa Marekani wa Ulaya walioitambua nchi ya Palestina

    Trump awaita 'wapumbavu' washirika wa Marekani wa Ulaya walioitambua nchi ya Palestina

    Sep 30, 2025 07:04

    Rais wa Marekani Donald Trump amewashambulia vikali kwa kuwaita wapumbavu washirika wakuu wa Ulaya wa nchi hiyo ikiwemo Uingereza na Ufaransa kwa kuitambua rasmi nchi ya Palestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS