Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Akthari ya Wamarekani hawana imani na sera za Trump kuhusiana na Korea Kaskazini

    Akthari ya Wamarekani hawana imani na sera za Trump kuhusiana na Korea Kaskazini

    Jun 18, 2018 10:42

    Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa nchini Marekani yanaonyesha kuwa akthari ya Wamarekani hawana imani na sera za rais wa nchi hiyo kuhusiana na Korea Kaskazini.

  • Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 40 + Sauti

    Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 40 + Sauti

    Jun 16, 2018 11:44

    Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 40 ya makala haya yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.

  • China yajibu mapigo ya Marekani katika vita vya kibiashara

    China yajibu mapigo ya Marekani katika vita vya kibiashara

    Jun 16, 2018 02:26

    Serikali ya China imetangaza kupandisha ushuru wa forodha kwa asilimia 25, kwa bidhaa 659 za Marekani zinazoingia nchini humo, ikiwa ni katika kujibu hatua ya kiuhasama ya Washington ya kutangaza ongezeko la ushuru kwa asilimia 25 kwa bidhaa za China zinazopelekwa nchini Marekani, lililotangazwa na Rais Donald Trump mapema jana Ijumaa.

  • Mwendesha Mastaka Mkuu wa New York amfungulia mashtaka Trump na watoto wake

    Mwendesha Mastaka Mkuu wa New York amfungulia mashtaka Trump na watoto wake

    Jun 15, 2018 00:30

    Mwendesha Mashtaka Mkuu wa New York nchini Marekani amemfungulia mashtaka Rais Donald Trump na watoto wake kutokana na shughuli zilizo kinyume cha sheria za taasisi ya misaada ya 'Donald J. Charity Foundation.'

  • Indhari ya Russia kwa Korea Kaskazini kuhusiana na ahadi za Marekani

    Indhari ya Russia kwa Korea Kaskazini kuhusiana na ahadi za Marekani

    Jun 13, 2018 10:57

    Japokuwa mkutano wa Rais Donald Trump wa Marekani na Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini umepokelewa vyema na viongozi wa Russia, lakini wakati huo huo Moscow imeionya Pyongyang kwamba haifai kuamini kikamilifu ahadi za Marekani.

  • Kikao cha Kim Jong-un na Rais Donald Trump chaanza nchini Singapore

    Kikao cha Kim Jong-un na Rais Donald Trump chaanza nchini Singapore

    Jun 12, 2018 00:07

    Kikao kilichokuwa kikisubiriwa kati ya Rais Donald Trump wa Marekani na Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini kimeanza asubuhi ya leo kwa wakati wa Singapore muda mfupi baada ya kukutana na kupeana mikono.

  • Tabia ya Trump ya kuchana nyaraka za White House yaelezewa kuwa ni

    Tabia ya Trump ya kuchana nyaraka za White House yaelezewa kuwa ni "wendawazimu mkubwa zaidi"

    Jun 11, 2018 23:47

    Wafanyakazi wawili wenye uzoefu wa muda mrefu, waliofukuzwa kazi katika Ikulu ya rais wa Marekani White House wamefichua kuwa rais wa nchi hiyo Donald Trump ana tabia ya kuzichana hati na nyaraka za serikali ambazo zinapasa kuhifadhiwa.

  • Wito wa mshikamano wa nchi za Ulaya katika kukabiliana na Marekani

    Wito wa mshikamano wa nchi za Ulaya katika kukabiliana na Marekani

    Jun 11, 2018 23:10

    Kansela Angela Merkel wa Ujerumani amebainisha masiktiko yake baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kukataa kuidhinisha taarifa ya mwisho ya kikao cha viongozi wa nchi tajiri kiviwanda G7 ambacho kilimalizika juzi huko Quebec, nchini Canada. Merkel amebainisha wazi kuwa nchi za Ulaya hazipaswi kuitegemea tena Marekani.

  • Fox News: Trump na kiongozi wa Korea Kaskazini ni madikteta

    Fox News: Trump na kiongozi wa Korea Kaskazini ni madikteta

    Jun 11, 2018 02:37

    Televisheni ya wahafidhina wa Marekani ya Fox News ambayo ina uhusiano wa karibu sana na serikali ya nchi hiyo imeibua gumzo na mijadala baada ya kusema kuwa Rais Donald Trump na kiongozi wa Korea Kaskazini ni madikteta.

  • Tahadhari kali ya Putin kuhusu athari mbaya za kujiondoa Marekani katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA

    Tahadhari kali ya Putin kuhusu athari mbaya za kujiondoa Marekani katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA

    Jun 11, 2018 02:27

    Rais Vladimir Putin wa Russia amekosoa vikali uamuzi wa Marekani wa kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA akisema unatishia usalama na amani ya Mashariki ya Kati.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS