-
Ufaransa yamkosoa Trump, yasema ni mtu mwenye migongano
Jun 10, 2018 22:47Ofisi ya Rais wa Ufaransa imetangaza kuwa mienendo ya Rais Donald Trump wa Marekani katika mkutano wa nchi saba zilizopiga hatua kiviwanda maarufu kama G7 si thabiti na inagonga na kukinzana.
-
Mgogoro G7 baada ya Trump kupinga taarifa ya mwisho na kumlaani waziri mkuu wa Canada
Jun 09, 2018 23:10Rais Donald Trump wa Marekani amepinga taarifa ya mwisho ya mkutano wa nchi tajiri kiviwanda G7, huku akimlaani Waziri Mkuu wa Canada ambaye ni mwenyeji wa mkutano huo.
-
Futari ya kimaonyesho ya Trump yakabiliwa na maandamano
Jun 07, 2018 03:39Sambamba na kufanyika karamu ya futari iliyoiandaliwa na Rais Donald Trump wa Marekani, wanaharakati wa masuala ya kiraia wamefanya maandamano mbele ya Ikulu ya White House wakipinga siasa za chuki na ubaguzi za rais huyo dhidi ya Waislamu na wahajiri.
-
Jaji wa Marekani: Yumkini Trump akauzuliwa kutokana na kesi ya ufuska
Jun 06, 2018 02:53Jaji mmoja nchini Marekani amesema huenda Rais Donald Trump akauzuliwa iwapo atapatikana na hatia katika kesi ya ufuska iliyowasilishwa na mwanamke mmoja ambaye anadai kudhalilishwa naye kingono.
-
Balozi wa Marekani Russia: Kuna njia ndefu kabla ya kukutana Trump na Rais Putin
Jun 04, 2018 02:01Balozi wa Marekani nchini Russia amesema kuwa kuna njia ndefu sana kabla ya Marais Vladmir Putin wa Russia na Donald Trump wa Marekani kuweza kukutana.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 35 na sauti
Jun 03, 2018 10:29Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 35 ya makala haya yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Mjumbe wa UN: Trump ni chanzo cha kutokuwepo usawa wa kiuchumi nchini Marekani
Jun 02, 2018 22:12Philip Alston, Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya umasikini amesema kuwa, siasa na hatua za Rais Donald Trump wa Marekani, zimesababisha kuongezeka dhulma ya kiuchumi nchini humo.
-
Iran kuishtaki Marekani kwa kutumia ushahidi wa Trump
May 30, 2018 03:40Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inajiandaa kuishtaki Marekani kwa kushiriki kwa njia isiyo ya moja kwa moja katika mashambulizi ya kigaidi ya mwaka jana hapa nchini, kwa kutumia ushahidi wa Rais Donald Trump.
-
Trump na Shinzō Abe wapanga kuibana zaidi Korea Kaskazini
May 29, 2018 02:48Rais Donald Trump wa Marekani na Shinzō Abe, Waziri Mkuu wa Japan wamekubaliana kuhakikisha wanailazimisha Korea Kaskazin iachane na silaha zake za nyuklia na makombora ya balestiki.
-
Zarif: Stratejia mpya za Trump zitafanya Marekani itengwe zaidi
May 27, 2018 09:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema stratejia mpya zilizotangazwa hivi karibuni na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani eti dhidi ya Tehran zitaifanya Washington itengwe zaidi kimataifa.