Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Viongozi wa Amerika ya Latini watoa wito kupinga ushuru wa Trump

    Viongozi wa Amerika ya Latini watoa wito kupinga ushuru wa Trump

    Apr 10, 2025 11:32

    Viongozi wa nchi za Amerika ya Latini wametaka kuweko umoja na mshikamano wa kukabiliana na ushuru wa Rais Donald Trump wa Marekani na kuyumba uchumi kunakosababishwa na hatua hizo za Trump.

  • Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza: Trump anaiburuta dunia katika ukingo wa mdodoro wa uchumi

    Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza: Trump anaiburuta dunia katika ukingo wa mdodoro wa uchumi

    Apr 10, 2025 11:23

    Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza ametahadharisha kuwa sera za kibiashara za Rais Donald Trump wa Marekani zinauelekeza uchumi wa dunia katika mdodoro hatari wa kiuchumi; na ni kupitia tu kuratibiwa hatua za kimataifa ndipo tunaweza kuzuia kukaririwa mgogoro wa uchumi kama ule ulioiathiri dunia mwaka 2008.

  • Katibu Mkuu wa UN: Ghaza ni uwanja wa mauaji, kuwahamisha Wapalestina hakukubaliki

    Katibu Mkuu wa UN: Ghaza ni uwanja wa mauaji, kuwahamisha Wapalestina hakukubaliki

    Apr 09, 2025 06:37

    Katika tamko kali zaidi ambalo amewahi kutoa hadi sasa, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ametoa indhari kuhusu hali ya janga la kibinadamu inayozidi kuwa mbaya katika Ukanda wa Ghaza.

  • Hitilafu za viongozi wa Ulaya kuhusu jibu la vita vya ushuru vya Trump

    Hitilafu za viongozi wa Ulaya kuhusu jibu la vita vya ushuru vya Trump

    Apr 08, 2025 02:38

    Tangazo la kutoza ushuru mpya la Rais wa Marekani, Donald Trump, dhidi ya nchi 180 duniani, zikiwemo nchi za Umoja wa Ulaya, limeibua hisia tofauti kutoka kwa nchi mbalimbali duniani.

  • Kupinga Uyahudi: Kisingizio cha Trump kwa ajili ya kuweka mashinikizo kwa vyuo vikuu

    Kupinga Uyahudi: Kisingizio cha Trump kwa ajili ya kuweka mashinikizo kwa vyuo vikuu

    Apr 05, 2025 03:14

    Maafisa wa serikali ya Marekani wametangaza kuwa utawala wa Donald Trump utaangalia upya bajeti ya dola bilioni 9 ya Chuo Kikuu cha Harvard kufuatia madai ya chuki dhidi ya Wayahudi kwenye chuo hicho.

  • Wall Street Journal: Trump anahaha kutaka kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na Iran

    Wall Street Journal: Trump anahaha kutaka kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na Iran

    Apr 05, 2025 02:35

    Gazeti la Marekani la Wall Street Journal limewanukuu maafisa wa nchi hiyo na kuripoti kuwa, Washington inajaribu kutoa mashinikizo ili iweze kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na Iran kuhusiana na kadhia ya nyuklia.

  • Tel Aviv yakumbwa na mshtuko baada ya Trump kutangaza ushuru kwa bidhaa zote za Israel

    Tel Aviv yakumbwa na mshtuko baada ya Trump kutangaza ushuru kwa bidhaa zote za Israel

    Apr 03, 2025 11:33

    Maafisa wa utawala ghasibu wa Israel wamepatwa na mshtuko baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kutangaza kutoza ushuru wa asilimia 17 kwa bidhaa zote za Israel, licha ya hivi majuzi Tel Aviv kuondoa ushuru wote kwa bidhaa za Marekani.

  • Marekani inapokosa mwamana; Trump atishia kuiteka kijeshi Greenland

    Marekani inapokosa mwamana; Trump atishia kuiteka kijeshi Greenland

    Apr 02, 2025 12:43

    Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa ana yakini eneo la Greenland la Denmark kwa vyovyote vile litatekwa na kukaliwa na Marekani hata kama ni kwa kutumia nguvu za kijeshi.

  • Wacanada waanza

    Wacanada waanza "kumtia adabu" Trump, bidhaa za Marekani zasusiwa Canada

    Apr 02, 2025 02:31

    Kuongezeka himaya na uungaji mkono wa Wacanada kwa bidhaa za nyumbani kumeibua wasiwasi kwa makampuni ya bidhaa mbalimbali ya Marekani.

  • Rais wa Iran: Mwelekeo wa mazungumzo unategemea mwenendo wa Wamarekani

    Rais wa Iran: Mwelekeo wa mazungumzo unategemea mwenendo wa Wamarekani

    Mar 31, 2025 02:41

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Tehran haijawahi kukwepa mazungumzo, lakini ni aina ya mwenendo wa Wamarekani ndio unaoamua ikiwa mazungumzo yataendelea au la.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS