-
Je, China imejibu vipi tuhuma za Trump?
Sep 07, 2025 06:49Ikiwa ni katika kujibu madai ya Trump, China imetangaza kwamba kupanua ushirikiano wake na nchi nyingine sio tishio kwa nchi yoyote ya tatu.
-
Trump abadilisha jina la wizara ya ulinzi ya Marekani, sasa itaitwa 'Wizara ya Vita'
Sep 06, 2025 06:18Rais Donald Trump wa Marekani ametia saini amri ya utekelezaji ya kubadilisha jina la wizara ya ulinzi ya nchi hiyo na kuwa 'Wizara ya Vita', jina ambalo litatumika katika taarifa zote za utendaji za serikali.
-
Trump dhidi ya Modi: Ni nini matokeo ya kuanza rasmi vita vya ushuru vya Marekani dhidi ya India?
Aug 28, 2025 10:46Marekani imeanza kutekeleza ushuru wa asilimia 50 kwa bidhaa zinazoingizwa nchini humo kutoka India.
-
EU yasisitiza kuiunga mkono "kwa dhati" ICC baada ya US kuwawekea vikwazo waendesha mashtaka 2
Aug 25, 2025 06:38Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amesema "amesikitishwa sana" na uamuzi wa Marekani wa kuwawekea vikwazo maafisa wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).
-
Kwa nini Rais wa Colombia ametahadharisha kuhusu njama za Marekani za kuigeuza Venezuela kuwa Syria nyingine?
Aug 23, 2025 03:58Rais wa Colombia ametahadharisha kuwa Marekani inaweza kuifanya Venezuela kuwa Syria nyingine.
-
Ubelgiji kupiga marufuku simu za mkononi maskulini kuanzia mwaka wa masomo wa 2025-2026
Aug 19, 2025 06:12Matumizi ya simu za mkononi na vifaa vingine vya kielektroniki yatapigwa marufuku nchini kote Ubelgiji katika skuli za msingi na sekondari kuanzia mwaka wa masomo wa 2025-2026, isipokuwa vitakapolazimu kutumika kwa sababu za kimasomo, kiafya, au za dharura. Hayo yameripotiwa na vyombo vya habari vya ndani ya nchi hiyo.
-
Ni yapi matokeo ya mkutano wenye utata wa Trump na Putin?
Aug 16, 2025 11:27Hatimaye, baada ya kusubiri kwa muda mrefu na uvumi kuhusu mkutano kati ya Marais Donald Trump wa Marekani na Vladimir Putin wa Russia kuhusu vita vya Ukraine, mkutano huo hatimaye ulifanyika Ijumaa, Agosti 15 huko Alaska.
-
Nchi zinazoibukia kiuchumi zimejibu vipi vita vya ushuru vya Trump?
Aug 09, 2025 11:29Mataifa matatu yanayoinukia kiuchumi, Brazil, India na Uchina, yamejibu vikali hatua ya Rais wa Marekani, Donald Trump, ya kupandisha ushuru wa forodha kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa.
-
Trump atumia lugha ya uamrishaji kuzitaka nchi za Asia Magharibi zianzishe uhusiano na Israel
Aug 08, 2025 10:42Rais Donald Trump wa Marekani amezitaka nchi za Asia Magharibi zianzishe uhusiano rasmi wa kidiplomasia na utawala wa kizayuni wa Israel.
-
Je, India itasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Trump?
Aug 08, 2025 02:11Siku ya Jumatano, Agosti 6, Rais Donald Trump wa Marekani alitia saini amri ya kuweka ushuru wa ziada wa asilimia 25 dhidi ya bidhaa za India ili kukabiliana na hatua ya nchi hiyo ya kuendelea kununua mafuta ya Russia, na hivyo kuongeza ushuru jumla kwa bidhaa za India hadi asilimia 50.