Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Taharuki Marekani; wafuasi wa Trump waliojizatiti kwa silaha za moto waingia mabarabarani

    Taharuki Marekani; wafuasi wa Trump waliojizatiti kwa silaha za moto waingia mabarabarani

    Nov 08, 2020 00:05

    Wafuasi wa Rais anayeondoka wa Marekani, Donald Trump huku wakiwa wamejizatiti kwa silaha za moto wamemiminika katika barabara na mitaa ya majimbo ya Arizona na Georgia, kulalamikia ushindi wa Joe Biden katika uchaguzi wa rais wa nchi hiyo.

  • Kukamatwa shabiki wa Trump aliyetishia kutekeleza mauaji ya umati mjini Los Angeles

    Kukamatwa shabiki wa Trump aliyetishia kutekeleza mauaji ya umati mjini Los Angeles

    Nov 07, 2020 08:14

    Polisi ya upelelezi ya serikali kuu ya Marekani FBI, imemtia nguvuni shabiki mmoja wa Rais Donald Trump wa Marekani aliyetishia kutekeleza mauaji ya umati katika mji wa Los Angeles katika jimbo la California.

  • Uchaguzi wa rais wa 2020; nembo ya demokrasia bandia ya Marekani

    Uchaguzi wa rais wa 2020; nembo ya demokrasia bandia ya Marekani

    Nov 07, 2020 06:44

    Kama ilivyokuwa imetabiriwa awali, uchaguzi wa mwaka huu wa rais wa Marekani ambao ulifanyika tarehe 3 mwezi huu wa Novemba umekuwa moja ya chaguzi zenye utata mkubwa zaidi katika historia ya nchi hiyo, uchaguzi ambao taathriza zake bila shaka zitabakia kwa muda mrefu katika uwanja wa siasa za nchi hiyo.

  • Wafuasi wa Trump wenye bunduki wazingira vituo vya kuhesabu kura

    Wafuasi wa Trump wenye bunduki wazingira vituo vya kuhesabu kura

    Nov 07, 2020 04:09

    Idadi kubwa ya wafuasi wa Rais Donald Trump wa Marekani wameonekana katika vituo kadhaa vya kuhesabu kura nchini humo wakiwa wamebeba bunduki za rashasha.

  • Wademocrati waanza kusherehekea ushindi, Biden akaribia zaidi White House

    Wademocrati waanza kusherehekea ushindi, Biden akaribia zaidi White House

    Nov 06, 2020 23:55

    Mgombea urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Democratic, Joe Biden anaendelea kumtimulia kivumbi mpinzani wake wa chama cha Republican, Donald Trump katika matokeo ya uchaguzi wa rais wa Marekani kwenye majimbo mawili muhimu ya Pennsylvania na Georgia ambayo huenda yakamkabidhi rasmi Biden ufunguo wa kuingia Ikulu ya White House.

  • Mpwa wa Trump: Hali Marekani itakuwa hatari sana miezi inayokuja

    Mpwa wa Trump: Hali Marekani itakuwa hatari sana miezi inayokuja

    Nov 06, 2020 08:09

    Mpwa wake rais wa Marekani Donald Trump ametahadharisha kuwa, hali nchini Marekani itakuwa hatari sana katika miezi ijayo kwa sababu Trump hatakubali kushindwa katika uchaguzi.

  • Kujiondoa rasmi Marekani katika Mapatano ya Tabianchi ya Paris

    Kujiondoa rasmi Marekani katika Mapatano ya Tabianchi ya Paris

    Nov 05, 2020 04:22

    Marekani ambayo imejiondoa katika mikataba kadhaa ya kimataifa wakati wa utawala wa Donald Trump, sasa imejiondoa rasmi katika Makubaliano ya Mabadiliko ya Tabianchi yaliyofikiwa mjini Paris, Ufaransa mwaka 2015. Mapatano hayo ni muhimu katika kulinda mazingira ili kuzuia ongezeko la joto duniani.

  • Kurefusha Marekani vikwazo dhidi ya Sudan; zawadi ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel

    Kurefusha Marekani vikwazo dhidi ya Sudan; zawadi ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel

    Nov 03, 2020 10:11

    Serikali ya Trump ikiwa na lengo la kuuridhisha utawala wa haramu wa Israel imechukua hatua tofauti ikiwemo ya kuandaa uwanja wa kutambuliwa rasmi utawala huo na mataifa ya Kiarabu na Kiislamu ambapo hatua yake ya karibuni kabisa na kuanzishwa uhusiano wa kawaida kati ya Sudan na utawala huo ghasibu.

  • Mkuu wa zamani wa CIA: Nina wasiwasi wa Trump kujitangaza mshindi mapema

    Mkuu wa zamani wa CIA: Nina wasiwasi wa Trump kujitangaza mshindi mapema

    Nov 02, 2020 09:56

    Mkuu wa zamani wa shirika la ujasusi la Marekani CIA amesema, ana wasiwasi wa machafuko ya uchaguzi na rais wa nchi hiyo Donald Trump kujitangaza mshindi wa uchaguzi mapema.

  • Kushadidi migawanyiko ya kisiasa na kijamii Marekani

    Kushadidi migawanyiko ya kisiasa na kijamii Marekani

    Nov 02, 2020 08:08

    Kampeni za uchaguzi wa rais wa Marekani zimefika ukingoni. Ikiwa imesalia masaa machache kabla ya uchaguzi mkuu, kumeshuhudiwa majibizano makali baina ya wagombea urais na wafuasi wao na hata katika baadhi ya maeneo kumeripotiwa kuongezeka mapigano ya mitaani baina ya wafuasi wa kambi mbili hasimu za kisiasa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS