-
Marekani ya Trump; utawala asi na wa kijambazi duniani
Jul 23, 2020 22:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, baada ya Marekani kujitoa katika makubaliano ya nyuklia yajulikanayo kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) imegeuka kuwa utawala asi na wa kijambazi duniani.
-
Baadhi ya Warepublican wazidisha juhudi za kumfukuza Trump kutoka White House
Jul 23, 2020 21:53Kundi la maafisa wa chama cha Republican wanaompinga Rais Donald Trump wa Marekani ambaye anatazamiwa kubeba bendera ya chama hicho katika uchaguzi ujao, limezidisha jitihada za kumuondoa kiongozi huyo katika Ikulu ya White House.
-
Ombi la wenyeviti wa kamati za Bunge la Marekani la kuchunguzwa ukandamizaji dhidi ya waandamanaji
Jul 21, 2020 06:12Kuendelea maandamano ya upinzani nchini Marekani kwa takribani miezi miwili sasa ya kulalamikia unyama uliofanywa na askari polisi mzungu wa mji wa Minneapolis katika jimbo la Minnesota wa kumuua kikatili raia mweusi George Floyd mnamo tarehe 25 Mei, kumemfanya rais wa nchi hiyo Donald Trump atumie vikosi vya usalama visivyojulikana kwa ajili ya kuwakandamiza waandamanaji.
-
Sisistizo la Borrell kuhusu kulindwa JCPOA; nara isiyotekelezeka kivitendo
Jul 20, 2020 02:17Umoja wa Ulaya (EU) na Troika ya Ulaya inayoundwa na Ujerumani, Ufaransa na Ujerumani ni pande zilizokuwa na nafasi muhimu katika kufikiwa mapatano ya nyuklia ya Iran maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Borrell: Mapatano ya Trump hayawezekani, JCPOA ilindwe
Jul 19, 2020 08:08Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya kwa mara nyingine tena amesisitizia udharura wa kulindwa na kuheshimiwa makubaliano ya nyuklia ya Iran yanayofahamika kwa kifupi kama JCPOA, na kueleza bayana kuwa ni jambo lisiloyumkinika kufikiwa kile kinachoitwa "Mapatano ya Tump."
-
Uingiliaji wa kifidhuli wa Donald Trump katika masuala ya ndani ya Iran
Jul 16, 2020 22:10Tangu Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yalipopata ushindi mwaka 1979 kwa uongozi wa Imam Ruhullah Khomeini Marekani daima imekuwa na utendaji hasi na wa kihasama dhidi ya taifa hili la Kiislamu.
-
Mary Trump: Rais Trump ni mtu hatari, anapaswa kujiuzulu
Jul 16, 2020 03:06Mpwa wa Donald Trump amesema rais huyo wa Marekani ni mtu hatari ambaye anapaswa kujiuzulu wadhifa wake wa urais mara moja.
-
Trump aghairi uamuzi wake dhidi ya wanafunzi wa kigeni baada ya kuzidiwa na mashinikizo
Jul 15, 2020 03:12Rais Donald Trump wa Marekani ameghairi uamuzi wake wa kufuta viza za wanafunzi wa kigeni katika vyuo vikuu vya Marekani baada ya kukabiliwa na mashinikizo makubwa.
-
UN yakosoa athari mbaya za misimamo hasi ya Trump kwa uhuru wa vyombo vya habari
Jul 15, 2020 01:48Tangu alipochukua hatamu za kuiongoza Marekani tarehe 20 Januari mwaka 2017, Rais Donald Trump amekua akielekeza panga lake kali kwenye vyombo vya habari vinavyokosoa utendaji na mienendo yake.
-
Umaarufu wa Tump wazidi kuporomoka baina ya Wamarekani, atambuliwa kuwa rais mbaya zaidi
Jul 13, 2020 22:01Matokeo ya uchunguzi wa maoni yanayonesha kuwa, Donald Trump ndiye rais mbaya zaidi katika historia ya Marekani.