Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Maandamano dhidi ya Trump New York kabla ya mkutano wa UNGA

    Maandamano dhidi ya Trump New York kabla ya mkutano wa UNGA

    Sep 24, 2019 04:25

    Maandamano makubwa dhidi ya Rais Donald Trump wa Marekani yameshuhudiwa mjini New York usiku wa kuamkia leo, masaa machache kabla ya kuanza mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa jijini humo.

  • Trump 'alilia' Tuzo ya Nobel, asema Obama hakustahiki kupewa

    Trump 'alilia' Tuzo ya Nobel, asema Obama hakustahiki kupewa

    Sep 24, 2019 04:18

    Rais Donald Trump wa Marekani kwa mara nyingine tena amedai kuwa ana ustahiki wa kupewa Tuzo ya Amani ya Nobel.

  • Spika wa Kongresi amkosoa Trump kwa kufumbia macho jinai za utawala wa Saudia

    Spika wa Kongresi amkosoa Trump kwa kufumbia macho jinai za utawala wa Saudia

    Sep 23, 2019 03:41

    Bunge la Wawakilishi la Marekani, Kongresi limekemea vikali uungaji mkono na himaya ya pande zote ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo kwa utawala wa Saudi Arabia kwa kuendelea kuuzia silaha za aina mbalimbali na kutuma majeshi ya Marekani katika nchi hiyo ya kifalme kwa kisingizio cha kukabiliana na eti "vitisho".

  • Kumalizika kusikoeleweka kwa mazungumzo ya biashara kati ya Marekani na China

    Kumalizika kusikoeleweka kwa mazungumzo ya biashara kati ya Marekani na China

    Sep 22, 2019 23:10

    Siasa za kimaslahi na za upendeleo wa kiuchumi zinazotekelezwa na Rais Donald Trump wa Marekani ambazo zinalenga kushadidisha mgogoro wa ushuru wa forodha, zimeibua vita vikubwa vya kibiashara kati ya nchi hiyo na China.

  • Trump asema uongo mara 27 katika hotuba ya dakika 95

    Trump asema uongo mara 27 katika hotuba ya dakika 95

    Sep 18, 2019 20:54

    Televisheni ya CNN imeripoti kuwa Rais wa nchi hiyo ametoa madai ya uongo mara 27 kupitoa hotuba yake iliyochukua muda wa dakika 95.

  • Mkuu wa zamani wa Shirika la CIA akosoa udhaifu wa Trump

    Mkuu wa zamani wa Shirika la CIA akosoa udhaifu wa Trump

    Sep 17, 2019 08:30

    Mkuu wa zamani wa Shirika la Kisasusi la Marekani (CIA), sambamba na kukosoa matamshi ya kupenda vita ya Rais Donald Trump wa Marekani, kufuatia shambulizi la ndege zisizo na rubani za Wayemen kwenye taasisi za mafuta za Saudia ARAMCO, amesema kuwa udhaifu wa kiuongozi wa rais huyo wa Marekani, umekuwa changamoto kimataifa.

  • Iran: Rais Rouhani hana mpango wowote wa kukutana na Trump

    Iran: Rais Rouhani hana mpango wowote wa kukutana na Trump

    Sep 16, 2019 22:45

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepuuzilia mbali uwezekano wowote wa Rais Hassan Rouhani kukutana na Rais wa Marekani Donald Trump katika mkutano ujao wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York.

  • Jitihada za Trump za kudhibiti bei ya mafuta katika masoko ya kimataifa

    Jitihada za Trump za kudhibiti bei ya mafuta katika masoko ya kimataifa

    Sep 16, 2019 04:55

    Mashambulizi yaliyofanywa na wanamapambano wa Yemen dhidi ya taasisi za mafuta za Saudi Arabia na kupelekea kupungua nusu ya uzalishaji wa mafuta wa nchi hiyo na kuvuruga masoko ya kimataifa, yamekabiliwa na msimamo wa kukurupuka wa serikali ya Washington.

  • Trump amuita Rais Sisi wa Misri kuwa dikteta

    Trump amuita Rais Sisi wa Misri kuwa dikteta

    Sep 14, 2019 07:05

    Rais Donald Trump wa Marekani ameripotiwa kumtaja Rais Abdul Fattah al-Sisi kuwa dikteta.

  • Njama za utawala wa Trump za kuficha namna Saudi Arabia ilivyohusika katika matukio ya Septemba 11

    Njama za utawala wa Trump za kuficha namna Saudi Arabia ilivyohusika katika matukio ya Septemba 11

    Sep 14, 2019 02:56

    Baada ya matukio ya Septemba 11 mwaka 2001, Marekani ilijinadi kama mbeba bendera ya vita dhidi ya ugaidi duniani na kwa kisingizio hicho ikatekeleza mashambulizi kadhaa ya kijeshi kukiwemo kuzivamia Iraq na Afghanistan. Pamoja na hayo, sera za Marekani katika vita dhidi ya ugaidi zimekuwa na mgongano na undumakuwili mkubwa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS