Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Ukosoaji wa Mkuu wa Baraza Ulaya dhidi ya siasa za kuzusha mizozo za Rais Donald Trump

    Ukosoaji wa Mkuu wa Baraza Ulaya dhidi ya siasa za kuzusha mizozo za Rais Donald Trump

    Aug 26, 2019 03:45

    Siasa na hatua za Rais Donald Trump wa Marekani katika nyanja mbalimbali hususan kuiondoa Washington katika mikataba na makubaliano ya kimataifa kama ya nyuklia ya JCPOA, mkataba wa mabadiliko ya tabianchi wa Paris Ufaransa na vilevile hatua yake ya kung'ang'ania kuwa na vita vya kibiashara na madola mengine makubwa kiuchumi duniani, ni mambo ambayo yamepelekea kuibuka mizozo mikubwa katika uga wa kimataifa.

  • Dehqan: Iran haitafanya mazungumzo yoyote na rais Trump wa Marekani

    Dehqan: Iran haitafanya mazungumzo yoyote na rais Trump wa Marekani

    Aug 25, 2019 21:11

    Mshauri wa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Iran katika masuala ya sekta ya viwanda vya ulinzi amesema: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katu hataifanya mazungumzo na utawala wa sasa wa Marekani."

  • Mwito wa Uingereza wa kukomeshwa ukiritimba wa sarafu ya dola

    Mwito wa Uingereza wa kukomeshwa ukiritimba wa sarafu ya dola

    Aug 25, 2019 21:08

    Msimamo wa Marekani wa kutumia vibaya sarafu ya dola katika masuala ya biashara na ya fedha kimataifa kwa lengo la kufanikishia malengo yake haramu, umewakasirisha hata waitifaki wa karibu mno wa Washington kama vile Uingereza ambayo sasa imetoa mwito wa kukomeshwa ukiritimba wa matumizi ya sarafu ya dola duniani.

  • Mazungumzo ya viongozi wa Ufaransa na Marekani kuhusu Iran na JCPOA

    Mazungumzo ya viongozi wa Ufaransa na Marekani kuhusu Iran na JCPOA

    Aug 25, 2019 08:21

    Mivutano iliyopo baina ya Marekani na nchi za Ulaya zilizomo katika kundi la 4+1 kuhusiana na jinsi ya kuamiliana na Iran na kadhia nzima ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA bado ni moja ya mivutano mikubwa ya pande hizo mbili. Katika wiki za hivi karibuni, Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa alifanya mazungumzo mbalimbali na marais wa Iran na Marekani na kuja na mapendekezo ya kupunguza wasiwasi uliopo.

  • Tishio jingine la Donald Trump la kuwahamishia magaidi wa Daesh katika nchi za Ulaya

    Tishio jingine la Donald Trump la kuwahamishia magaidi wa Daesh katika nchi za Ulaya

    Aug 22, 2019 21:55

    Nafasi ya Marekani na washirika wake wa Magharibi na wa Kiarabu katika kuanzisha na kueneza harakati za makundi ya kigaidi na kitakfiri likiwemo la Daesh si ya kukanushika hata kidogo.

  • Trump: Myahudi anayewapigia kura Wademokrati ama hajui chochote au ni mtovu mkubwa wa uaminifu

    Trump: Myahudi anayewapigia kura Wademokrati ama hajui chochote au ni mtovu mkubwa wa uaminifu

    Aug 22, 2019 07:41

    Wanasiasa, wanaharakati pamoja na Wamarekani wengine wanaendelea kutuma jumbe kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter wakieleza jinsi wanavyoona fahari na kujivunia kuasi na "kutokuwa waaminifu kwa Trump" baada ya rais huyo wa Marekani kusema kuwa, Myahudi yeyote anayewapigia kura Wademokrati anaonyesha "ama hajui chochote au ni mtovu mkubwa wa uaminifu".

  • Larijani: Trump anafananisha medani ya siasa na ukumbi wa michezo ya kuigiza

    Larijani: Trump anafananisha medani ya siasa na ukumbi wa michezo ya kuigiza

    Aug 20, 2019 22:45

    Spika wa Bunge la Iran amesema kuwa Rais Donald Trump wa Marekani amekosea kufananisha medani ya siasa za uwanja wa michezo ya kuigiza na hatua hii inatoa pigo kwa hadhi ya taifa la Marekani.

  • Wakongwe wa jeshi la Marekani wajiunga na kampeni ya kutaka Trump atimuliwe

    Wakongwe wa jeshi la Marekani wajiunga na kampeni ya kutaka Trump atimuliwe

    Aug 19, 2019 22:05

    Kundi la askari wakongwe wa jeshi la Marekani limejiunga na kampeni inayoitaka Kongresi ya nchi hiyo iharakishe mwenendo wa kumtimua kazi Rais Donald Trump wa nchi hiyo kupitia njia ya kupiga kura ya kutokuwa na imani naye.

  • Maduro akosoa hatua za Trump dhidi ya Venezuela

    Maduro akosoa hatua za Trump dhidi ya Venezuela

    Aug 19, 2019 22:03

    Kufuatia kuendelea vitisho na mashinikizo ya Marekani dhidi ya Venezuela, Rais Nicolas Maduro wa nchi hiyo amekosoa hatua za Rais Donald Trump dhidi ya nchi yake na kusema: "Hatua ambazo Rais wa Marekani anachukua dhidi ya Venezuela ni sawa na zile ambazo kiongozi wa Wanazi alichukua katika Vita Vikuu vya Pili vya Dunia."

  • Aliyekuwa mshauri mwandamizi: Trump atajiengua kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi wa urais wa 2020

    Aliyekuwa mshauri mwandamizi: Trump atajiengua kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi wa urais wa 2020

    Aug 18, 2019 22:13

    Rais Donald Trump wa Marekani atajitoa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania urais wa Marekani katika uchaguzi wa mwaka 2020 na wala hatopigania kuchaguliwa tena kushika wadhifa huo. Hayo yameelezwa na aliyekuwa mshauri mwandamizi wa kiongozi huyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS