Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Iran: Taarifa ya Trump ya kuikingia kifua Saudia licha ya mauaji ya Kashoggi ni fedheha

    Iran: Taarifa ya Trump ya kuikingia kifua Saudia licha ya mauaji ya Kashoggi ni fedheha

    Nov 20, 2018 23:41

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaja kama fedheha taarifa iliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani akiikingia kifua Saudi Arabia, licha utawala huo kuhusika na mauaji ya mwandishi wa habari na mkosoaji wa ukoo huo wa kifalme, Jamal Khashoggi.

  • Washington Post: Mchakato wa kifo cha kisiasa cha Donald Trump umeanza

    Washington Post: Mchakato wa kifo cha kisiasa cha Donald Trump umeanza

    Nov 20, 2018 23:09

    Gazeti la Washington Post limeandika makala ya ripoti ya kuchunguza siasa za vituko za rais Donald Trump wa Marekani na kile lilichokieleza kama kifo cha kisiasa cha kiongozi huyo.

  • Trump atilia shaka ripoti ya CIA kuhusu mauaji ya Khashoggi

    Trump atilia shaka ripoti ya CIA kuhusu mauaji ya Khashoggi

    Nov 18, 2018 10:39

    Rais Donald Trump ametilia shaka ripoti iliyovuja ya Shirika la Ujasusi la Marekani CIA kwamba Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia, Muhammad bin Salman aliamuru mauaji ya mpinzani wa utawala huo wa kifalme, Jamal Khashoggi.

  • Trump apata pigo, CNN yashinda kesi dhidi yake

    Trump apata pigo, CNN yashinda kesi dhidi yake

    Nov 16, 2018 21:43

    Mahakama moja nchini Marekani imeiagiza Ikulu ya White House kumrejeshea mwandishi wa habari wa televisheni ya CNN kibali ilichompokonya na kumzuia kuingia katika ikulu hiyo, baada ya kulumbana vikali na Rais Donald Trump.

  • Misimamo inayogongana ya Trump mkabala na mamlaka ya kiulinzi ya Ulaya

    Misimamo inayogongana ya Trump mkabala na mamlaka ya kiulinzi ya Ulaya

    Nov 13, 2018 09:43

    Hitilafu na mizozo baina ya Ulaya na Marekani imedhihiri hivi sasa kuliko kipindi kingine chochote kile tangu Rais Donald Trump wa Marekani aingie madarakani.

  • Mhadhiri wa Chuo Kikuu India: Marekani imeshindwa kikamilifu kuitenga Iran kimataifa

    Mhadhiri wa Chuo Kikuu India: Marekani imeshindwa kikamilifu kuitenga Iran kimataifa

    Nov 11, 2018 01:07

    Mkuu wa Kitengo cha Utafiti wa Bara Ulaya cha Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru cha New Delhi, India amesema kuwa, hatua ya Marekani ya kuziruhusu nchi kadhaa kuendelea kununua mafuta ya Iran ni ushahidi wa kushindwa kikamilifu njama za Marekani za kuitenga Iran kimataifa.

  • Rais Donald Trump wa Marekani: Kamwe sitomsamehe Barack Obama

    Rais Donald Trump wa Marekani: Kamwe sitomsamehe Barack Obama

    Nov 10, 2018 04:47

    Rais Donald Trump wa Marekani sambamba na kumkosoa vikali mtangulizi wake, Barack Obama amesema: 'Kamwe sitomsamehe Obama kutokana na hatua yake ya kulidhoofisha jeshi na masuala mengine mengi.'

  • Susan Rice awataka waandishi wa habari kususia vikao vya White House

    Susan Rice awataka waandishi wa habari kususia vikao vya White House

    Nov 09, 2018 23:07

    Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Rais wa zamani wa Marekani, Susan Rice amewataka waandishi wa habari kususia vikao vya habari vya ikulu ya Rais wa Marekani, White House hadi pale ikulu hiyo itakapojirekebisha kuwahusu.

  • Trump akiri kutokuwa na uwezo wa kuiwekea Iran vikwazo kamili vya mafuta

    Trump akiri kutokuwa na uwezo wa kuiwekea Iran vikwazo kamili vya mafuta

    Nov 08, 2018 04:54

    Rais wa Marekani kwa mara nyingine tena amekiri kuwa haiwezekani kuiwekea kikamilifu Iran vikwazo vya mafuta.

  • Donald Trump; rais mbaguzi zaidi katika historia ya Marekani

    Donald Trump; rais mbaguzi zaidi katika historia ya Marekani

    Nov 05, 2018 04:48

    Mwananadharia na mhadhiri mashuhuri wa taaluma ya siasa katika Chuo Kikuu cha Stanford nchini Marekani amesema kuwa Doland Trump, ndiye rais mbaguzi zaidi wa rangi katika historia ya nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS