-
Benki ya Dunia yatahadharisha kuhusu ongezeko la madeni ya nchi maskini
Oct 12, 2021 23:01Benki ya Dunia imetahadharisha juu ya kuongezeka kwa kiasi kikubwa madeni ya nchi zenye vipato vya chini duniani na taathira zake kwa uchumi wa dunia.
-
Saudi Arabia ni nchi mbaya zaidi duniani kwa upande wa ukiukaji wa uhuru hasa wa kisiasa
Sep 07, 2021 06:38Taasisi moja ya Utafiti ya nchini Marekani imetangaza kuwa Saudi Arabia ni nchi ya saba kwa kukiuka uhuru na demokrasia duniani.
-
Watu zaidi ya milioni 4 na laki tano wamepoteza maisha kwa corona duniani
Aug 30, 2021 23:16Shirika la habari la Reuters limeripoti kuwa jumla ya watu milioni 217 laki tatu elfu 67 na 883 wamepatwa na maambukizi ya corona duniani hadi sasa huku wengine milioni 4 na 518,030 wakiaga dunia kwa ugonjwa wa UVIKO-19 duniani kote.
-
Foreign Policy: Janga la corona linatishia kuzusha uasi, machafuko na migogoro ya kisiasa
Jul 23, 2021 23:25Tovuti ya Foreign Policy imetahadharisha kuhusu uwezekano wa kutokea machafuko ya kisiasa duniani kutokana na janga la maambukizi ya virusi vya corona ambavyo imesema vinatishia kuharakisha uasi, machafuko na migogoro ya kisiasa ya muda mrefu.
-
Corona imeua watu karibu milioni 7 duniani, maradufu ya idadi iliyotangazwa
May 07, 2021 03:13Taasisi moja ya kutathmini data za afya katika Chuo Kikuu cha Washington DC nchini Marekani imesema idadi ya watu walioaga dunia kutokana na ugonjwa wa Covid-19 duniani ni mara mbili ya idadi iliyotangazwa kufikia sasa.
-
Kukosoa Guterres ukiritimba na ugavi usio wa kiadilifu wa chanjo ya Corona baina ya mataifa ya dunia
Apr 06, 2021 07:52Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena amekosoa namna chanjo ya corona inavyozalishwa na kugawiwa baina ya nchi mbalimbali duniani.
-
Viongozi wa nchi 23 duniani watoa wito wa kubuniwa mkataba wa kimataifa wa kukabiliana na magonjwa
Mar 30, 2021 22:34Viongozi wa nchi 23 wakishirikiana na Mkuu wa Baraza la Ulaya Charles Michel na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Tedros Adhanom wametoa wito wa kubuniwa mkataba wa kimataifa wa kukabilia na magonjwa mlipuko na migogoro ya afya katika siku zijazo baada ya janga la corona kufichuia jinsi dunia ilivyofeli na kugawanyika katika suala la kupampana na maambukizi ya virusi hivyo.
-
Utafiti: 20% ya wagonjwa wa corona wanapatwa na matatizo ya akili
Nov 10, 2020 03:48Utafiti mpya unaonyesha kuwa, mgonjwa mmoja kati ya watano wa maradhi ya Covid-19 anakumbwa na magonjwa ya kisaikolojia, ndani ya miezi mitatu baada ya kugundulika kuwa ameambukizwa ugonjwa huo.
-
Mapigano na ghasia zasababisha watu milioni 80 kuwa wakimbizi
Jun 18, 2020 14:05Umoja wa Mataifa umesema takriban watu milioni 80 (asilimia 1 ya jamii ya mwanadamu) wamelazimika kuwa wakimbizi ndani na nje ya nchi zao kutokana na vita na mapigano katika kona mbalimbali za dunia.
-
Joseph Borrell akiri kumalizika zama za uongozi wa Marekani duniani
May 26, 2020 23:28Kuingia madarakani Rais Donald Trump wa Marekani huko White House mnamo tarehe 20 Januari 2017 kulifungua ukurasa mpya wa siasa za upande mmoja za nchi hiyo duniani.