-
Ethiopia: Marekani ikome kuiunga mkono Misri kibubusa
Jun 28, 2020 23:26Gazeti moja la Ethiopia limeishambulia vikali serikali ya Marekani kwa kile lilichosema ni uungaji mkono wa kibubusa na kipofupofu wa misimamo ya Misri katika mazungumzo ya kutafuta suluhisho la bwawa na al Nahdha linalojengwa na Addis Ababa juu ya maji ya Nto Nile.
-
Kuongezeka jitihada za kutatua mgogoro wa bwawa la al Nahdha
Jun 27, 2020 09:12Hitilafu zinazoendelea baina ya nchi za Misri, Sudan na Ethiopia kuhusu ujenzi wa bwawa na al Nahdha juu ya maji ya Mto Nile na mgogoro uliosababishwa na hitilafu hizo zimezidisha jitihada za kikanda na kimataifa za kutafuta suhulisho la hitilafu hizo.
-
Misri yataka UN iingilie kati mzozo wa bwawa la al-Nahdha
Jun 20, 2020 02:17Misri imelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa liingilie kati kwa ajili ya kutatua mgogoro wa bwawa la al-Nahdha la nchini Ethiopia.
-
Misri na Ethiopia zaafikiana juu ya maji ya bwana la al Nahdha
Jun 18, 2020 03:15Misri na Ethiopia zimeafikiana juu ya jinsi ya kujaza maji katika bwana lililozusha mgogoro mkubwa baina ya pande hizo mbili la al Nahdha.
-
Bunge la Ethiopia lamruhusu Waziri Mkuu asalie madarakani muda wake ukiisha
Jun 11, 2020 03:32Bunge la Ethiopia limepiga kura ya kumuidhinisha Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Abiy Ahmed aendelee kuwa madarakani hata baada ya muhula wake wa kuhudumu kisheria utakapomalizika.
-
Ethiopia yaituhumu Misri kuwa imechochea ghasia na machafuko nchini humo
Jun 04, 2020 07:13Afisa wa serikali ya jimbo la Oromia nchini Ethiopia ameituhumu serikali ya Misri kuwa imechochea maandamano na ghasia zilizoshuhudiwa katika siku za hivi karibuni jimboni humo.
-
AI: Kuna ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu Ethiopia
May 29, 2020 23:25Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema vikosi vya usalama nchini Ethiopia vinakiuka haki za binadamu ikiwa ni pamoja na kujihusisha na mauaji ya kiholela na utesaji watu tangu Waziri Mkuu Abiy Ahmed achukue hatamu za uongozi mwaka 2018.
-
Ethiopia yagundua wagonjwa wapya 88, idadi yafikia 582
May 25, 2020 07:43Ethiopia imethibitisha kugunduliwa wagonjwa wengine 88 wa COVID-19 na kufanya idadi ya kesi za corona zilizogunduliwa nchini humo hadi leo Jumatatu asubuhi kufikia 582. Hayo ni kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa jana na Wizara ya Afya ya Ethiopia.
-
Ethiopia yakiri kutungua ndege ya Kenya katika ardhi ya Somalia
May 09, 2020 08:05Askari wa jeshi la Ethiopia wamekiri kuwa walitungua kimakosa ndege ndogo ya Kenya iliyokuwa imebeba misaada na vifaa vya kupambana na janga la corona katika mji wa Bardale, kusini mwa eneo la Bay nchini Somalia.
-
Indhari ya UN baada ya Saudia kuwafukuza nchini humo raia wa Ethiopia
Apr 14, 2020 08:03Umoja wa Mataifa umeonya kuwa, hatua ya watawala wa Riyadh ya kuwatimua nchini Saudi Arabia wafanyakazi wahajiri raia wa Ethiopia itasababisha kuenea na kusambaa virusi vya Corona.