-
Vita dhidi ya corona; Ethiopia yawaachia huru maelfu ya wafungwa
Mar 26, 2020 06:17Serikali ya Ethiopia imetangaza kuwa itawaachia huru maelfu ya wafungwa, ili kuzuia kuenea kwa kasi kirusi hatari cha corona nchini humo.
-
Makamanda wa jeshi la Ethiopia wasema wako tayari kukabiliana na hujuma yoyote ya Misri
Mar 14, 2020 09:08Mkuu wa majeshi ya Ethiopia amesema kuwa jeshi la nchi hiyo liko tayari kukabiliana na hujuma ya aina yoyote ya kijeshi itakayolenga bwawa la al Nahdha na kujibu hujuma hiyo.
-
Ethiopia: Hatutaburuzwa na Marekani kusaini makubaliano ya bwawa la Nahdha
Mar 13, 2020 23:02Ethiopia imesema haitakubali kushinikizwa na Marekani kutia saini makubaliano ya mpango wa Washington kuhusu bwawa la al-Nahdha.
-
Serikali ya Misri: Ethiopia imeidhalilisha Jumuiya ya Nchi za Karabu
Mar 08, 2020 23:17Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Misri imetangaza kuwa, inapinga vikali taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Ethiopia kuhusu azimio la Baraza la Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusiana na ujenzi wa Bwawa la al-Nahdha.
-
Ethiopia: Ubovu wa ndege ya Boeing ya US ndiyo sababu ya ajali ya 2019
Mar 07, 2020 23:14Rasimu ya ripoti ya muda ya wachunguzi wa Ethiopia imesema ajali mbaya ya ndege ya Boeing Max 737 iliyotokea tarehe 10 mwezi Machi mwaka jana 2019 na kuua watu 157 ilisababishwa na na matatizo ya kiufundi na ubovu wa ndege hiyo ya Kimarekani.
-
Makumi wauawa katika mapigano ya kikabila Ethiopia na Somalia
Feb 29, 2020 10:02Watu wasiopungua 12 wameuawa katika mapigano mapya ya kikabila katika jimbo la Gambella, magharibi mwa Ethiopia.
-
Makumi ya waandamanaji wajeruhiwa katika maandamano nchini Ethiopia
Feb 24, 2020 08:15Maafisa wa jeshi la polisi la Ethiopia wametangaza kuwa, makumi ya watu wamejeruhiwa baada ya kutokea mripuko wa bomu katika maandamano ya kumuunga mkono Waziri Mkuu wa nchi hiyo.
-
Safari ya Pompeo katika nchi kadhaa za Afrika na hamaniko la Marekani la kukabiliana na washindani wake
Feb 21, 2020 03:18Muelekeo wa madola ya Magharibi kuhusiana na bara la Afrika daima umekuwa wa kulikoloni, kulinyonya na kulipora utajiri wake bara hilo, pamoja na kuwakandamiza Waafrika wanaopigania nchi zo kuwa huru na kujitawala.
-
UN: Wasudan Kusini wanaunda idadi kubwa ya wakimbizi Ethiopia
Jan 26, 2020 09:28Umoja wa Mataifa umesema raia wa Sudan Kusini ndio wanaounda idadi kubwa ya wakimbizi nchini Ethiopia.
-
Ethiopia yatambua rasmi Baraza Kuu la Waislamu baada ya juhudi za miaka 60
Jan 26, 2020 03:40Baada ya juhudi za miaka 60 hatimaye Baraza Kuu la Waislamu nchini Ethiopia limetambuliwa rasmi na serikali ya Addis Ababa, suala ambalo limetajwa na wachambuzi wa mambo kuwa ni mafanikio ya kihistoria kwa wafuasi wa dini hiyo nchini Ethiopia.