Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ethiopia

  • Waziri Mkuu wa Ethiopia amjibu Trump anayelilia Tuzo ya Nobel

    Waziri Mkuu wa Ethiopia amjibu Trump anayelilia Tuzo ya Nobel

    Jan 15, 2020 23:02

    Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amejibu matamshi ya Rais Donald Trump wa Marekani aliyedai hivi karibuni kuwa yeye ndiye aliyepaswa kupewa Tuzo ya Amani ya Nobel mwaka jana 2019 na kusisitiza kuwa, Trump anapaswa kuwasilisha malalamiko yake kwa Kamati Andalizi ya Tuzo ya Nobel na sio kwa taifa hilo la Pembe ya Afrika.

  • Mazungumzo kuhusu bwawa la al-Nahdha yavunjika nchini Ethiopia

    Mazungumzo kuhusu bwawa la al-Nahdha yavunjika nchini Ethiopia

    Jan 11, 2020 01:20

    Wizara ya Maji ya Misri imetangaza kuwa, mazungumzo yaliyokuwa yakiendelea huko Addis Ababa kati ya nchi hiyo, Ethiopia na Sudan kuhusiana na bwawa na al-Nahdha yamevunjika baada ya pande husika kushindwa kufikia makubaliano.

  • Viongozi wa Kiislamu Ethiopia walaani hujuma dhidi ya misikiti Amhara

    Viongozi wa Kiislamu Ethiopia walaani hujuma dhidi ya misikiti Amhara

    Dec 25, 2019 03:54

    Viongozi wa Kiislamu nchini Ethiopia wamelaani vikali hujuma na kuteketezwa moto misikiti minne katika jimbo la Amhara ambalo liko kaskazini mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.

  • Ethiopia yarusha satalaiti yake ya kwanza katika anga za mbali

    Ethiopia yarusha satalaiti yake ya kwanza katika anga za mbali

    Dec 20, 2019 08:13

    Ethiopia leo Ijumaa imerusha satalaiti yake ya kwanza katika anga za mbali na kujiunga na nchi kadhaa za Kiafrika ambazo zina miradi ya anga za mbali kwa malengo ya ustawi na sayansi.

  • Kamati ya Nobel: Waziri Mkuu wa Ethiopia anapasa kuzungumza na vyombo vya habari wakati wa kupokea tuzo ya amani

    Kamati ya Nobel: Waziri Mkuu wa Ethiopia anapasa kuzungumza na vyombo vya habari wakati wa kupokea tuzo ya amani

    Dec 06, 2019 11:45

    Abiy Ahmed Waziri Mkuu wa Ethiopia hatozungumza na vyombo vya habari wiki ijayo atakapokuwa mjini Oslo kupokea tuzo ya Amani ya Nobl; hatua iliyompelekea kukosolewa na kamati ya tuzo hiyo ambayo imesema kuwa uhuru wa vyombo vya habari una umuhimu.

  • Jubaland: Majeshi ya Ethiopia na Somalia yanataka kumpindua Rais Madobe

    Jubaland: Majeshi ya Ethiopia na Somalia yanataka kumpindua Rais Madobe

    Nov 17, 2019 04:16

    Serikali ya eneo lenye mamlaka ya ndani la Jubaland, Kusini mwa Somalia imedai kuwa wanajeshi wa Ethiopia wanakula njama za kumpindua Rais Ahmed Madobe wa jimbo hilo.

  • Ethiopia yapinga upatanishi wa Marekani katika mazungumzo ya bwawa la El Nahdha

    Ethiopia yapinga upatanishi wa Marekani katika mazungumzo ya bwawa la El Nahdha

    Nov 09, 2019 23:14

    Ujenzi wa bwawa la El Nahdha na suala la kugawana manufaa ya maji ya Mto Nole kati ya nchi za Misri, Ethiopia na Sudan limegeuka na kuwa mgogoro kati ya nchi hizo tatu hususan Misri na Ethiopia kwa kadiri kwamba Cairo imewasilisha pendelezo la usuluhishi kutoka nje baada ya kukwama mazungumzo baina ya pande husika.

  • Ethiopia yakataa upatanishi wa Marekani katika mgogoro wa bwawa na El Nahdha

    Ethiopia yakataa upatanishi wa Marekani katika mgogoro wa bwawa na El Nahdha

    Nov 08, 2019 11:45

    Serikali ya Ethiopia imetangaza kuwa, haikubali upatanishi wa Marekani katika mazungumzo yanayohusiana na ujenzi wa Bwawa na El Nahdha juu ya maji ya Mto Nile.

  • Abiy Ahmed: Watu 86 wameuawa katika machafuko ya karibuni Ethiopia

    Abiy Ahmed: Watu 86 wameuawa katika machafuko ya karibuni Ethiopia

    Nov 04, 2019 23:22

    Waziri Mkuu wa Ethiopia amesema kuwa, watu 86 wameuawa katika maandamano ya kupinga serikali yaliyotokea mwezi uliopita nchini humo.

  • Serikali ya Ethiopia: Watu 78 wameuawa katika maandamano, idadi inaweza kuongezeka

    Serikali ya Ethiopia: Watu 78 wameuawa katika maandamano, idadi inaweza kuongezeka

    Nov 01, 2019 04:38

    Serikali ya Ethiopia imetangaza kuwa watu wasiopungua 78 waliuawa katika maandamano ya upinzani ya kupinga muamala mbaya dhidi ya mwanaharakati mwenye ushawishi mkubwa, ambaye pia ni mjasiriamali wa vyombo vya habari nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS