-
Ethiopia yakataa upatanishi wa Marekani katika mgogoro wa bwawa na El Nahdha
Nov 08, 2019 11:45Serikali ya Ethiopia imetangaza kuwa, haikubali upatanishi wa Marekani katika mazungumzo yanayohusiana na ujenzi wa Bwawa na El Nahdha juu ya maji ya Mto Nile.
-
Abiy Ahmed: Watu 86 wameuawa katika machafuko ya karibuni Ethiopia
Nov 04, 2019 23:22Waziri Mkuu wa Ethiopia amesema kuwa, watu 86 wameuawa katika maandamano ya kupinga serikali yaliyotokea mwezi uliopita nchini humo.
-
Serikali ya Ethiopia: Watu 78 wameuawa katika maandamano, idadi inaweza kuongezeka
Nov 01, 2019 04:38Serikali ya Ethiopia imetangaza kuwa watu wasiopungua 78 waliuawa katika maandamano ya upinzani ya kupinga muamala mbaya dhidi ya mwanaharakati mwenye ushawishi mkubwa, ambaye pia ni mjasiriamali wa vyombo vya habari nchini humo.
-
Mamia ya raia wa Ethiopia waondoka Saudia Arabia
Oct 26, 2019 23:09Serikali ya Ethiopia imewaondoa mamia ya raia wake kutoka Saudi Arabia katika kipindi cha wiki za hivi karibuni.
-
Mwito wa utulivu baada ya watu 16 kuuawa katika maandamano Ethiopia
Oct 24, 2019 12:51Jawar Mohammed, mwanaharakati na mwasisi wa mtandano huru wa vyombo vya habari nchini Ethiopia ametoa mwito wa utulivu baada ya watu 16 kuuawa katika machafuko na ghasia za maandamano nchini humo.
-
Watu milioni 7.8 Ethiopia wanahitaji misaada ya kibinadamu
Oct 24, 2019 00:49Takriban watu milioni 7.8 nchini Ethiopia wameendelea kuhitaji misaada ya kibinadamu katika muda uliobaki wa mwaka huu.
-
Abiy Ahmed: Ethiopia iko tayari kuendesha uchaguzi 2020
Oct 23, 2019 04:23Waziri Mkuu wa Ethiopia jana alisema kuwa nchi hiyo itakabiliwa na matatizo iwapo itachelewesha uchaguzi mkuu kinyume na ilivyopangwa. Uchaguzi mkuu nchini Ethiopia umepangwa kufanyika mwezi ujao wa Mei.
-
Abiy Ahmed: Tukilazimika tutaingia vitani na Misri kwa ajili ya bwawa la El Nahdha
Oct 22, 2019 23:16Waziri Mkuu wa Ethiopia ametahadharisha kuwa, nchi hiyo itakusanya mamilioni ya wapiganaji iwapo italazimika kingia vitani na Misri katika mzozo wa ujenzi wa bwawa la El Nahdha juu ya maji ya Mto Nile.
-
Maporomoko ya ardhi yaua watu 22 kusini mwa Ethiopia
Oct 16, 2019 04:06Maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kubwa yameuwa watu 22 kusini mwa Ethiopia.
-
Waziri Mkuu wa Ethiopia atunukiwa zawadi ya mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel 2019
Oct 11, 2019 12:07Waziri Mkuu wa Ethiopia ametunukiwa zawadi ya mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel mwaka 2019 kutokana na juhudi zake za kuhitimisha vita kati ya nchi na Eritrea.