-
Ugonjwa wa Chikungunya waenea Ethiopia, watu 15,000 waambukizwa
Aug 30, 2019 03:30Zaidi ya watu 15,192 wameambukizwa Chikungunya baada ya ugonjwa huu kuibuka katika mji wa mashariki wa Ethiopia Dire Dawa.
-
Bunge la Ethiopia lapasisha sheria mpya ya uchaguzi
Aug 24, 2019 22:06Wabunge wa Ethiopia, jana Jumamosi, Agosti 24, 2019 walipasisha sheria mpya ya uchaguzi katika kipindi hiki ambacho uchaguzi mkuu nchini humo unatarajiwa sana kufanyika mwakani, 2020.
-
HRW yakosoa ukandamizaji wa Saudia dhidi ya wahajiri wa Kiethiopia
Aug 16, 2019 23:12Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limeeleza wasiwasi wake kuhusu haki ya wahajiri wa Kiethiopia nchini Saudi Arabia na kukosoa ukiukwaji wa haki zao unaofanywa na maafisa wa nchi hiyo.
-
Waziri Mkuu wa Ethiopia atishia kukata moja kwa moja mawasiliano ya Intaneti
Aug 03, 2019 22:37Waziri Mkuu wa Ethiopia ametangaza kuwa, endapo machafuko na hali ya kushajiishana wananchi kwa ajili ya machafuko itaendelea nchini humo, basi atachukua uamuzi wa kukata mawasiliano ya Intaneti kwa muda mrefu.
-
Ethiopia yaweka rekodi kwa kupanda zaidi ya miti milioni 350 kwa siku moja
Jul 30, 2019 20:50Waethiopia wamepanda zaidi ya miche milioni 350 ya miti katika muda wa siku moja ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kupambana na utowekaji wa misitu na mabadiliko ya tabianchi.
-
Jeshi la Ethiopia kulinda usalama katika mkoa wa Kusini ulioathiriwa na machafuko
Jul 23, 2019 23:25Ethiopia imetangaza kuwa vikosi vya ulinzi na askari usalama wa nchi hiyo ndio watasimamia ulinzi na usalama katika mkoa wa kusini ulioathiriwa na machafuko nchini humo. Machafuko hayo yemeendelea kwa siku kadhaa na kusababisha watu 18 kupoteza maisha.
-
Mayahudi wa Ethiopia waliorubuniwa kwenda Israel wapiga "takbir" waendelea kulalamikia unyanyasaji
Jul 06, 2019 06:28Mayahudi wa Ethiopia maarufu kwa jina la Mafalasha, waliorubiniwa kwenda katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni, wanaendelea kufanya maandamano ya kalalamikia unyanyasaji na ubaguzi wanaofanyiwa na Wazayuni.
-
Wayahudi wa Ethiopia waandamana kulalamikia ukatili wa polisi ya Israel
Jul 03, 2019 02:55Maelfu ya Wayahudi wenye asili ya Ethiopia yaani Mafalasha wamefanya maandamano huko Tel Aviv kupinga ubaguzi wa rangi na ukandamizaji wa polisi wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Aliyepanga mapinduzi yaliyofeli Ethiopia auawa, 182 wakamatwa
Jun 25, 2019 02:41Mkuu wa usalama katika jimbo la Amhara, kaskazini mwa Ethiopia anayetuhumiwa kupanga jaribio la kuipindua serikali ya jimbo hilo ameuawa.
-
Mkuu wa Jeshi la Ethiopia auawa katika jaribio la mapinduzi
Jun 23, 2019 08:36Mkuu wa Jeshi la Ethiopia Jenerali Seare Mekonnen na maafisa wengine watatu wa ngazi za juu wameuawa katika jaribio la kuipindua serikali ya jimbo la Amhara kaskazini mwa nchi hiyo.