-
Wayahudi wa Ethiopia waandamana kulalamikia ukatili wa polisi ya Israel
Jul 03, 2019 02:55Maelfu ya Wayahudi wenye asili ya Ethiopia yaani Mafalasha wamefanya maandamano huko Tel Aviv kupinga ubaguzi wa rangi na ukandamizaji wa polisi wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Aliyepanga mapinduzi yaliyofeli Ethiopia auawa, 182 wakamatwa
Jun 25, 2019 02:41Mkuu wa usalama katika jimbo la Amhara, kaskazini mwa Ethiopia anayetuhumiwa kupanga jaribio la kuipindua serikali ya jimbo hilo ameuawa.
-
Mkuu wa Jeshi la Ethiopia auawa katika jaribio la mapinduzi
Jun 23, 2019 08:36Mkuu wa Jeshi la Ethiopia Jenerali Seare Mekonnen na maafisa wengine watatu wa ngazi za juu wameuawa katika jaribio la kuipindua serikali ya jimbo la Amhara kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Wapinzani Ethiopia watahadharisha kuhusu kuahirishwa uchaguzi wa 2020
Jun 22, 2019 02:58Wanasiasa wa mrengo wa upinzani nchini Ethiopia wametahadharisha kuhusu uwezekano wa kuahirishwa uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika mwaka 2020 ambao unatazamiwa kuwa wa kwanza chini ya waziri mkuu mpenda mageuzi Abiy Ahmad. Wamesema yamkini uchaguzi ukaahirishwa kutokana na uhasama wa kikabila unaoendelea kutokota katika maeneo mbali mbali nchini humo.
-
Wakimbizi wa Ethiopia warejea katika nchi yao kutoka Yemen
Jun 21, 2019 22:14Wakimbizi zaidi ya 2100 raia wa Ethiopia wamerejea nyumbani kutoka Yemen kwa msaada wa shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji IOM.
-
Wapinzani Sudan wakubali kwa masharti Ethiopia kuwa mpatanishi
Jun 08, 2019 02:12Muungano wa upinzani nchini Sudan umeafiki kuwa Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed awe mpatanishi baina yao na Baraza la Mpito la Kijeshi ili kutatua mgogoro mkubwa wa kisiasa unaotokota nchini humo.
-
Ethiopia yawakamata watu 62 waliohusika na mapigano ya kikabila, wakimbizi warejea
May 10, 2019 03:27Serikali ya Ethiopia imetangaza kuwakamata watu 62 ambao walihusika katika kuchochea mapigano ya kikabila hivi karibuni nchini humo.
-
"Wafanyakazi wa viwanda vya nguo Ethiopia ndio wenye mshahara mdogo zaidi duniani"
May 07, 2019 03:16Ripoti mpya imefichua kuwa, wafanyakazi wa viwanda vya ufumaji nguo nchini Ethiopia ndio wanaolipwa mshahara mdogo zaidi duniani.
-
WHO: Wakimbizi wa ndani Ethiopia wanakaribia milioni 1
Apr 09, 2019 21:55Shirika la Afya Duniani, WHO limepeleka wahudumu wa afya na vifaa tiba kwa ajili ya kukabiliana na mahitaji ya wakimbizi wa ndani walio katika eneo la Gedeo na magharibi mwa eneo la Guji katika ukanda wa Oromia na maeneo ya kusini nchini Ethiopia.
-
Wachimba migodi 5 wauawa katika eneo la Oromia, Ethiopia
Mar 19, 2019 23:03Watu waliobeba silaha wameshambulia timbo (mgodi) na kuua wachimba migodi watano katika eneo la Oromia magharibi mwa Ethiopia.