Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ethiopia

  • Taarifa za visanduku vyeusi: Ajali ya ndege ya Ethiopia 'inafanana' na ya Lion Air ya Indonesia

    Taarifa za visanduku vyeusi: Ajali ya ndege ya Ethiopia 'inafanana' na ya Lion Air ya Indonesia

    Mar 18, 2019 03:44

    Taarifa za awali zilizopatikana kwenye vinasa taarifa na sauti vya ndege ya Ethiopia iliyoanguka siku kadhaa zilizopita zinaonyesha kuwa, kuna "mshabihiano wa wazi" kati ya ajali ya ndege hiyo na ile ya shirika la ndege la Indonesia la Lion Air iliyotokea mwezi Oktoba mwaka jana.

  • Iran yatoa mkono wa pole kwa serikali na wananchi wa Ethiopia kufuatia ajali ya ndege

    Iran yatoa mkono wa pole kwa serikali na wananchi wa Ethiopia kufuatia ajali ya ndege

    Mar 10, 2019 10:14

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametuma salamu za rambirambi na kutoa mkono wa pole kwa serikali na wananchi wa Ethiopia khususan familia za wale wote waliopoteza maisha katika ajali ya ndege ya abiria ya Shirika la Ndege la Ethiopia iliyoanguka muda mfupi baada ya kuruka.

  • Wakenya 32 ni miongoni mwa watu 157 walioaga dunia katika ajali ya ndege Ethiopia + Sauti

    Wakenya 32 ni miongoni mwa watu 157 walioaga dunia katika ajali ya ndege Ethiopia + Sauti

    Mar 10, 2019 13:11

    Raia 32 wa Kenya ni miongoni mwa abiria 149 na wahudumu wanane, waliofariki dunia kwenye ajali ya ndege iliyotokea mapema leo nchini Ethiopia.

  • Ethiopia yatumia diplomasia kuzipatanisha Kenya na Somalia

    Ethiopia yatumia diplomasia kuzipatanisha Kenya na Somalia

    Mar 06, 2019 23:24

    Upatanishi wa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed katika mgogoro wa mpaka wa baharini kati ya Kenya na Somalia umezaa matunda kwa kiasi fulani, baada ya nchi mbili hizo jirani kuafikiana kupunguza taharuki iliyopo kati yao.

  • Viongozi wa Afrika wakamilisha mkutano wao Addis Ababa

    Viongozi wa Afrika wakamilisha mkutano wao Addis Ababa

    Feb 12, 2019 04:27

    Mkutano wa 32 viongozi wa nchi za Afrika ulimaliza kazi zake alasiri ya jana katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa.

  • Walinda amani watatu wafariki dunia katika ajali ya helikopta nchini Sudan

    Walinda amani watatu wafariki dunia katika ajali ya helikopta nchini Sudan

    Feb 10, 2019 04:06

    Umoja wa Mataifa umesema kuwa, walinda usalama watatu wamepoteza maisha baada ya helikopta ya kijeshi ya Ethiopia kupata ajali ndani ya kituo cha askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa (UNISFA), kwenye eneo lenye mzozo la Abyei katika mpaka wa Sudan na Sudan Kusini.

  • Shambulizi la kigaidi laua askari kadhaa wa Ethiopia nchini Somalia

    Shambulizi la kigaidi laua askari kadhaa wa Ethiopia nchini Somalia

    Feb 02, 2019 21:57

    Mripuko wa bomu lililokuwa limetegwa garini umeua watu kadhaa wakiwemo wanajeshi wa Ethiopia huko kusini mwa Somalia.

  •  Wayahudi wenye asili ya Ethiopia waandamana Tel Aviv kupinga ukatili wa polisi wa Kizayuni

    Wayahudi wenye asili ya Ethiopia waandamana Tel Aviv kupinga ukatili wa polisi wa Kizayuni

    Jan 31, 2019 11:20

    Maelfu ya Wayahudi wenye asili ya Ethiopia yaani Mafalasha wamefanya maandamano huko Tel Aviv kupinga ubaguzi wa rangi na ukandamizaji wa polisi wa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Foreign Policy: Waziri Mkuu wa Ethiopia ni mwanafikra wa kimataifa

    Foreign Policy: Waziri Mkuu wa Ethiopia ni mwanafikra wa kimataifa

    Jan 26, 2019 04:44

    Jarida la Foreign Policy limemtaja Abiy Ahmed, Waziri Mkuu wa Ethiopia kuwa mwanafikra wa kimataifa kutokana na jitihada zake za kitaifa na kieneo ndani ya miezi 12 iliyopita.

  • Ethiopia yawaachia huru maelfu ya wafungwa wa kisiasa

    Ethiopia yawaachia huru maelfu ya wafungwa wa kisiasa

    Jan 23, 2019 04:20

    Serikali ya Ethiopia imewaachia huru wafungwa wa kisiasa zaidi ya 13 elfu katika kipindi cha miezi sita iliyopita.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS