-
Waziri Mkuu wa Ethiopia afikia makubaliano na wanajeshi waliotaka nyongeza ya mishahara
Oct 11, 2018 04:42Abiy Ahmed Waziri Mkuu wa Ethiopia jana alifikia makubaliano na mamia kadhaa ya wanajeshi wa nchi hiyo waliofika ofisini kwake wakidai nyongeza ya mishahara; ambapo wanajeshi hao walikubaliwa kumuona Waziri Mkuu huyo.
-
Ethiopia kuanza kuwapa Waafrika viza wakishawasili nchini humo
Oct 09, 2018 03:55Rais wa Ethiopia, Mulatu Teshome amesema nchi hiyo karibuni hivi itaanza kuwapa raia wote wa bara Afrika viza mara tu watakapowasili katika nchi hiyo.
-
Zaidi ya watu elfu 70 wakimbia machafuko ya kikabila magharibi mwa Ethiopia
Oct 02, 2018 12:35Zaidi ya watu elfu 70 wamekimbia machafuko na ghasia za kikabila huko magharibi mwa Ethiopia. Machafuko hayo yanatajwa kuwa ni sehemu ya ghasia zilizoikumba Ethiopia katika siku za hivi karibuni na kuzidisha mashinikizo kwa serikali ya Waziri Mkuu wa nchi hiyo Abiy Ahmed.
-
Polisi: Watu 23 wameawa katika machafuko ya hivi karibuni nchini Ethiopia
Sep 17, 2018 23:28Polisi ya Ethiopia imetangaza kuwa, kwa akali watu 23 wameuawa katika machafuko yaliyoibuka hivi karibuni jirani na mji mkuu wa nchi hiyo Addis Ababa.
-
Viongozi wa Eritrea na Ethiopia wasaini makubaliano ya amani, uhusiano wazidi kuimarika
Sep 17, 2018 10:52Viongozi wa Ethiopia na Eritrea wametia saini makubaliano ya amani huku uhusiano wa nchi hizo mbili jirani zilizokuwa na uadui mkubwa ukizidi kuimarika siku baada ya siku.
-
Waziri mkuu wa Ethiopia atoa wito wa utulivu baada ya ghasia mjini Addis Ababa
Sep 14, 2018 02:16Waziri mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed ametoa wito wa kurejeshwa utulivu baada ya kutokea ghasia mjini Addis Ababa kutokana na bendera yenye utata.
-
Eritrea na Ethiopia zafungua mpaka wa pamoja baada ya miaka 20
Sep 11, 2018 09:18Viongozi wa Ethiopia na Eritrea wamefungua mpaka wao wa pamoja kwa mara ya kwanza baada ya kupita miongo miwili; hatua ambayo inatazamiwa kufungua mlango wa kuimarika uhusiano wa kibiashara wa majirani hao wa Pemba ya Afrika.
-
Kamisheni ya Umoja wa Afrika yaunga mkono juhudi za kutatua hitilafu za Eritrea-Ethiopia
Sep 09, 2018 23:41Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika amepongeza juhudi zilizofanyika kwa ajili ya kuondoa hitilafu baina ya nchi mbili za Ethiopia na Eritrea.
-
Meli ya kibiashara ya Ethiopia imetia nanga Eritrea kwa mara ya kwanza
Sep 05, 2018 09:25Meli ya kibiashara ya Ethiopia kwa mara ya kwanza leo imetia nanga nchini Eritrea baada ya kupita miaka 20. Hatua hiyo imejiri kufuatia kusainiwa makubaliano ya kumaliza uhasama kati ya nchi mbili hizo jirani na mahasimu wa zamani.
-
Benki ya Dunia yaipatia mkopo wa dola bilioni moja Ethiopia ili kuendeleza mageuzi
Aug 27, 2018 10:20Waziri Mkuu wa Ethiopia amesema kuwa, Benki ya Dunia imeipatia nchi hiyo mkopo wa dola bilioni moja ili kusaidia juhudi za nchi yake za kufanya mageuzi ya kiuchumi na kisiasa.