-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu awasilisha sera jumla kuhusu kuimarisha familia
Sep 03, 2016 07:44Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Khamenei amewasilisha sera jumla kuhusu familia ili zitekelezwe na vyombo vyote husika nchini Iran.
-
Familia Salama-3 (afya)
May 23, 2016 09:46Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nasi katika mfululizo huu mpya wa makala kuhusu Afya ya Familia. Makala hizi huangazia masuala mbali mbali ya afya ya familia kama vile lishe, mazoezi, madhara ya matumizi ya mihadarati, umuhimu wa mahaba katika familia n.k. Katika makala yetu hii tatu katika mfululizo huu tutaangazia nafasi ya mboga na matunda katika lishe ya familia. Karibuni kujiunga nasi hadi mwisho.
-
Familia Salama-2 (lishe)
May 23, 2016 09:44Moja kati ya nukta muhimu za afya ya mwanadamu ni lishe bora. Lishe kimsingi ni sayansi inayobainisha kuhusu virutubishi na viungo vingine katika chakula na uhusiano wake katika ustawi wa mwili, afya, maradhi n.k. Chakula tunachokula ndicho kinachoupatia mwili virutubisho . Ili mwili upate virutubisho hivyo kutoka kwenye chakula tunachokula, chakula hicho lazima kivunjwevunjwe kwanza. Zoezi hilo huanza kwa kutafunwa chakula mdomoni, kumezwa na kisha kufika tumboni.
-
Familia Salama (1) Usalama wa Chakula
Apr 06, 2016 11:42Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nasi katika mfululizo huu mpya wa makala kuhusu Afya ya Familia. Makala hizi zitaangazia masuala mbali mbali ya afya ya familia kama vile lishe, mazoezi, madhara ya matumizi ya mihadarati, umuhimu wa mahaba katika familia n.k. Katika makala yetu ya kwanza tutaangazia nafasi ya usalama wa chakula katika afya ya familia.