Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

gaidi

  • Magaidi 350 waangamizwa na jeshi la Syria katika kipindi cha siku 4

    Magaidi 350 waangamizwa na jeshi la Syria katika kipindi cha siku 4

    May 26, 2019 02:28

    Kituo cha uratibu cha Russia katika kambi ya kijeshi ya Mheimim ya magharibi mwa Syria kimetangaza habari ya kuangamizwa magaidi 350 katika mkoa wa Idlib wa kaskazini magharibi mwa nchi hiyo, kwenye kipindi cha siku nne zilizopita.

  • Matusi ya Trump dhidi ya taifa la Iran, mgongano katika misimamo ya Washington

    Matusi ya Trump dhidi ya taifa la Iran, mgongano katika misimamo ya Washington

    May 25, 2019 03:32

    Baada ya kuingia Ikulu ya White House mnamo mwezi Januari 2017, Rais Donald Trump wa Marekani bila kupoteza wakati ilichukua msimamo wa kudhoofisha na ikiwezekana kuuangusha mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Polisi: Gaidi aliyeua msikitini New Zealand kukabiliwa na mashitaka 50 ya mauaji

    Polisi: Gaidi aliyeua msikitini New Zealand kukabiliwa na mashitaka 50 ya mauaji

    Apr 04, 2019 08:03

    Polisi ya New Zealand imesema gaidi kwa jina Brenton Tarrant raia wa Australia ambaye alihusika katika shambulizi dhidi ya msikiti mmoja kati ya miwili iliyoshambuliwa nchini New Zealand mnamo Machi 15 atapandishwa kizimbani kesho Ijumaa, akikabiliwa na mashitaka 50 ya mauaji na 39 ya jaribio la mauaji.

  • Makombora ya Marekani aina ya 'TOW' yadhibitiwa na jeshi la Syria kutoka ngome za magaidi

    Makombora ya Marekani aina ya 'TOW' yadhibitiwa na jeshi la Syria kutoka ngome za magaidi

    Mar 29, 2019 08:13

    Katika mwenendelezo wa operesheni za jeshi la Syria kwenye maeneo ya kusini mwa nchi hiyo, jeshi hilo limefanikiwa kudhibiti zana na silaha zilizosalia kwa magaidi, yakiwemo makombora aina ya TOW ya Marekani.

  • Sisitizo la Rais Maduro kuwa Marekani inahusika na ugaidi na uharibifu nchini Venezuela

    Sisitizo la Rais Maduro kuwa Marekani inahusika na ugaidi na uharibifu nchini Venezuela

    Mar 26, 2019 03:05

    Rais Donald Trump wa Marekani katika chote cha utawala wake amekuwa akifuatilia sera za kuiangusha serikali halali ya Rais Nicolas Maduro nchini Venezuela kutokana na kuwa rais huyo anafuata sera za mrengo wa kushoto za kupinga ubeberu na ubepari wa Marekani na Wamagharibi.

  • Jeshi la Syria laangamiza maficho ya magaidi wa Jabhat al Nusra mkoani Hama

    Jeshi la Syria laangamiza maficho ya magaidi wa Jabhat al Nusra mkoani Hama

    Mar 19, 2019 15:03

    Wanajeshi wa Syria wameshambulia na kuangamiza maficho ya magaidi wa Jabhat al Nusra katika viunga vya mkoa wa Hama wa magharibi mwa nchi hiyo.

  • CAIR: Trump ndie chanzo cha hujuma za kigaidi misikitini New Zealand

    CAIR: Trump ndie chanzo cha hujuma za kigaidi misikitini New Zealand

    Mar 16, 2019 14:39

    Baraza la Mahusiano ya Kiislamu Marekani (CAIR) limesema sera za Rais Donald Trump zimechangia kuchochea hujuma za kigaidi zilizojiri katika misikiti miwili nchini New Zealand Ijumaa na kupelekea Waislamu 49 kuuawa.

  • Russia: Magaidi wote wa kigeni Syria wanapaswa kukabidhiwa kwa serikali ya Damascus

    Russia: Magaidi wote wa kigeni Syria wanapaswa kukabidhiwa kwa serikali ya Damascus

    Mar 16, 2019 04:44

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa, kinyume na matakwa ya Marekani, magaidi wote wa nchi za kigeni walioko Syria wanapaswa kukabidhiwa kwa serikali ya Damascus.

  • Magaidi 46 wanaofungamana na Kundi la Daesh waangamizwa Sinai, Misri

    Magaidi 46 wanaofungamana na Kundi la Daesh waangamizwa Sinai, Misri

    Mar 11, 2019 16:47

    Jeshi la Misri limeangamiza magaidi 46 wenye mfungamano na kundi la kigaidi la Daesh katika operesheni ya vikosi vya usalama vya nchi hiyo katikati ya mkoa wa Sinai Kaskazini.

  • Silaha za Marekani na magaidi wa Israel zapatikana Syria

    Silaha za Marekani na magaidi wa Israel zapatikana Syria

    Feb 19, 2019 08:00

    Askari usalama wa Syria wamenasa idadi kubwa ya silaha za Marekani na Israel zinazomilikiwa na magaidi huko Rif-Dimashq.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS