-
Rouhani: Uzalishaji gesi kuongezeka kufikia mwishoni wa mwaka huu
Aug 01, 2016 03:27Rais wa Iran amesisitiza kutumiwa mazingira yaliyojitokeza baada ya makubaliano ya JCPOA kwa ajili ya kustafidi na teknolojia mpya na kueleza kuwa uzalishaji wa gesi nchini Iran utaongezeka kwa mita mraba milioni 140 kwa siku hadi kufikia mwishoni mwa mwaka huu.
-
Tanzania, Kenya na Afrika Kusini zaanza kununua gesi asilia ya Iran
May 22, 2016 23:04Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanza kuziuzia nchi za Afrika Kusini, Kenya na Tanzania gesi asilia oevu (LNG).
-
Maonyesho ya Kimataifa ya Gesi, Mafuta yaanza Tehran
May 05, 2016 03:35Maonyesho ya 21 ya Kimataifa ya Gesi, Mafuta na Petrokemikali yameanza leo mjini Tehran ambapo kuna mashirika 1900 ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na nchi 38 za dunia.
-
Hifadhi ya mafuta ya Iran katika Ghuba ya Uajemi yafika mapipa bilioni 100
Apr 03, 2016 23:03Hifadhi ya mafuta ghafi ya petroli ya Iran katika Ghuba ya Uajemi imefikia mapipa bilioni 100.
-
Gesi zaidi yagunduliwa katika pwani ya Tanzania
Feb 26, 2016 04:21Tanzania imegundua takribani futi za ujazo trillioni 2.17 za Gesi katika eneo la Ruvu lililoko katika Mkoa wa Pwani kilomita chache kutoka katika jiji la Dar es Salaam.