-
Jumuiya ya Wayahudi wa Iran yataka kulipiza kisasi baada ya Israel kumuua Haniyeh
Aug 04, 2024 02:23Jumuiya ya Wayahudi wa Iran imelaani vikali mauaji yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya kiongozi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) Ismail Haniyeh akiwa ugenini mjini Tehran, ikitoa wito wa kulipiza kisasi dhidi ya mauaji hayo.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu: Leo hii, bendera ya juu kabisa ya Uislamu iko mikononi mwa watu wa Gaza
Jul 30, 2024 11:49Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amepongeza ushujaa wa wananchi wanaodhulumiwa na wenye nguvu wa Ghaza na kusema: Leo bendera ya juu kabisa ya Uislamu iko mikononi mwa watu wa Ukanda wa Gaza.
-
Tovuti ya Uingereza: Utawala wa Marekani ni kipofu kiasi kwamba unamhami mtu kama Netanyahu
Jul 30, 2024 02:29"Kuporomoka kwa dola kunakuwa jambo lisiloepukika mara tu watawala wake wanapopoteza kabisa hisia za jinsi walivyokuwa wapuuzi na wa kutisha", hivi ndivyo ilivyoandika tovuti ya Uingereza ya Middle East Eye ikizungumzia fedheha kubwa ya Congress ya Marekani ya kumkaribisha na kumpigia makofi nduli na Adolf Hitler wa zama hizi, Benjamin Netanyahu, anayeendelea kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza huko Palestina.
-
62% ya Wazayuni wanataka vita dhidi ya Ghaza vikomeshwe
Jul 27, 2024 12:27Matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa na chaneli ya 12 televisheni ya Israel yanaonyesha kuwa asilimia 62 ya Wazayuni wanataka kukomeshwa vita dhidi ya Ukanda wa Ghaza.
-
Maandamano dhidi ya utawala katili wa Israel yanaendelea sambamba na kuanza Michezo ya Olimpiki ya Paris
Jul 27, 2024 11:30Katika mkesha wa kuanza Michezo ya Olimpiki ya mwaka huu wa 2024 nchini Ufaransa, upinzani wa kimataifa dhidi ya ushiriki wa timu ya utawala wa Kizayuni katika michezo hiyo umeongezeka ambapo kampeni ya "Hakuna Olimpiki, Hakuna Mauaji" kwa ajili ya kuiondoa Israel katika mashindano hayo ya kimataifa ingali inaendelea.
-
Hatimaye utawala wa Kizayuni wakiri kuwa umeua mateka wake Ghaza
Jul 23, 2024 06:32Baada ya siku 290 za vita, hatimaye jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel limekiri kuwa makumi ya mateka wa Kizayuni wameuliwa katika ukanda wa Ghaza na askari wa utawala huo.
-
Holocaust ya kukaririwa kila siku huko Gaza
Jul 17, 2024 03:43Wazayuni wenye itikadi kali za kufurutu ada wanaotawala huko Tel Aviv, wakiongozwa na Benjamin Netanyahu, licha ya kushindwa kufikia malengo yao ya kijeshi katika Ukanda wa Gaza, wanaendelea kufanya mauaji mapya ya holocaust kila siku katika ukanda huo.
-
Umoja wa Ulaya wasisitiza udharura wa kusitishwa vita katika Ukanda wa Gaza
Jul 13, 2024 02:13Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa, hali ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza ni mbaya na isiyovumilika.
-
Shirika la UNRWA laonya kuhusu uhaba wa bidhaa za chakula Gaza
Jun 28, 2024 07:18Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limeonya kuhusiana na uhaba mkubwa wa bidhaa za chakula unaolikabili eneo la Ukanda wa Gaza, Palestina.
-
Afisa wa Marekani aliyejiuzulu: Wanajeshi wa Marekani wanashiriki katika vita vya Israel huko Gaza
Jun 27, 2024 02:59Afisa aliyejiuzulu kutoka Shirika la Ujasusi la Ulinzi la Marekani, Meja Harrison Mann, amesema kuwa vita vilivyoanzishwa na Israel katika Ukanda wa Gaza havingeweza kuendelea hadi leo bila msaada usio na kikomo wa Marekani, akisisitiza kwamba wanajeshi wa Marekani wanapigana katika kuilinda Israel.