-
Mkuu wa UNRWA: Janga la njaa la 'kutengezwa na watu' Ghazza linaepukika kwa kuruhusu kuingizwa misaada
Feb 26, 2024 08:17Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) amesema baa la njaa kali lililozagaa katika Ukanda wa Gaza linaweza kuepukwa ikiwa misaada itaruhusiwa kuingizwa katika eneo hilo.
-
Rais wa Brazil: Kinachofanywa na Wazayuni huko Ghaza ni mauaji ya umati
Feb 24, 2024 02:49Rais Luiz Inácio Lula da Silva wa Brazil amesema kuwa, kinachofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye Ukanda wa Ghaza ni mauaji ya umati.
-
Kuwaunga mkono wananchi na muqawama wa Ghazza ndilo jukumu kubwa la kiQur'ani leo hii
Feb 22, 2024 08:03Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran amesisitiza kuwa, kuwaunga mkono na kuwasaidia wananchi na muqawama wa Ukanda wa Ghazza ndilo jukumu kubwa zaidi la kiQur'ani hivi sasa.
-
Mwakilishi wa Afrika Kusini ICJ: Israel imefanya mauaji ya kimbari Gaza
Feb 21, 2024 07:48Mwakilishi wa Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) ametangaza kuwa, uvamizi na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza yanatisha zaidi kuliko mfumo wa ubaguzi wa rangi, apartheid.
-
Nchi 26 kati ya 27 za EU zataka 'kusitishwa vita haraka kwa sababu za kibinadamu' Ghazza
Feb 20, 2024 03:36Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya Josep Borrell ametangaza kuwa, nchi zote wanachama wa umoja huo isipokuwa moja tu, ambazo ni 26 kati ya 27, zimetoa wito wa "kusitishwa mara moja mapigano huko Ghazza kwa sababu za kibinadamu", usitishaji ambao utapelekea kupatikana usitishaji wa kudumu wa vita katika eneo hilo.
-
Asilimia 75 ya wanahabari waliouliwa 2023 wameuawa katika vita vya Israel dhidi ya Ghazza
Feb 16, 2024 04:20Kamati ya Kulinda Wanahabari CPJ imetangaza kuwa, waandishi wa habari 72 kati ya 99 waliouawa duniani kote mwaka 2023 walikuwa Wapalestina walioripoti vita vya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Ghazza, na kuifanya miezi hiyo 12 kuwa mibaya zaidi kwa vyombo vya habari katika kipindi cha karibu muongo mmoja sasa.
-
Hizbullah yaapa kujibu mashambulizi ya Israel yaliyoua raia wakiwemo watoto wawili
Feb 15, 2024 04:19Afisa wa ngazi ya juu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amelaani mashambulizi ya hivi karibuni zaidi ya Israel kusini mwa Lebanon yaliyosababisha vifo vya watu kadhaa wakiwemo watoto wawili, ikiapa kwamba majibu ya harakati ya Muqawama ya Lebanon yako njiani.
-
Ebrahim Raisi: Mauaji ya kimbari Gaza ni ishara ya kutofanya kazi ipasavyo asasi za kimataifa
Feb 08, 2024 23:53Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel huko Gaza ni ishara ya kutokuwa na utendaji wa maana asasi za kimataifa.
-
Maoni: Wamarekani wanaamini Israel imefanya mauaji ya kimbari Gaza
Feb 08, 2024 23:03Nusu ya Wamarekani wanaamini kuwa, kumefanyika mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza huko Palestina.
-
Umoja wa Mataifa walaani njama za kuichafua UNRWA
Feb 06, 2024 22:52Maripota wa Umoja wa Mataifa wametangaza kuwa, wanalaani vikali jaribio lolote la kuharamisha na kulichafua Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada na Ajira kwa Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA).