Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ghaza

  • Maripota wa Umoja wa Mataifa walaani njama za kuichafua UNRWA

    Maripota wa Umoja wa Mataifa walaani njama za kuichafua UNRWA

    Feb 05, 2024 12:13

    Maripota wa Umoja wa Mataifa wametangaza kwamba wanalaani vikali jaribio lolote la kuharamisha na kuchafua Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada na Ajira kwa Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA).

  • Hizbullah: Njia pekee ya kuondoa wasiwasi ni kukomeshwa mauaji ya kimbari Ghaza

    Hizbullah: Njia pekee ya kuondoa wasiwasi ni kukomeshwa mauaji ya kimbari Ghaza

    Feb 02, 2024 23:38

    Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, harakati hiyo imejiweka tayari kukabiliana na vitisho vyovyote vya utawala wa Kizayuni na kusisitiza kuwa, njia pekee ya kuondoa wasiwasi uliopo ni Israel kukomesha mauaji ya watu wasio na hatia huko Ghaza, Palestina.

  • UN yailaani Israel kwa kuwaua na kuwanyamazisha waandishi wa habari huko Gaza

    UN yailaani Israel kwa kuwaua na kuwanyamazisha waandishi wa habari huko Gaza

    Feb 02, 2024 10:36

    Wataalamu wa Haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wameeleza kusitikishwa na kulaani vitendo vya waandishi wa habari kuuawa, kushambuliwa, kujeruhiwa na kuwekwa vizuizini na vikosi vya utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la Palestina linalokaliwa kwa mabavu la Ukanda wa Gaza.

  • UNRWA, wenzo wa Israel na nchi za Magharibi kuzidisha mauaji ya kimbari huko Gaza

    UNRWA, wenzo wa Israel na nchi za Magharibi kuzidisha mauaji ya kimbari huko Gaza

    Jan 31, 2024 23:31

    Baada ya takriban miezi minne ya mashambulizi yasiyo na tija ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Gaza kwa lengo la kuangamiza Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, na kushindwa kuvunja azma na irada ya wakazi wa eneo hilo, Wazayuni wakishirikiana na baadhi ya waitifaki wao wa Magharibi, sasa wanalenga kusambaratisha Shirika la Umoja wa Mataifa la Msaada kwa Wakimbizi wa Kipalestina, UNRWA.

  • Iran: US inajua ni 'suluhisho la kisiasa' tu ndilo linaloweza kukomesha mauaji ya kimbari ya Israel Gaza

    Iran: US inajua ni 'suluhisho la kisiasa' tu ndilo linaloweza kukomesha mauaji ya kimbari ya Israel Gaza

    Jan 30, 2024 23:15

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, Marekani inajua vyema kwamba ni suluhisho la kisiasa pekee ndilo linaloweza kukomesha mauaji ya kimbari yanayoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza na kumaliza mgogoro unaoikumba Asia Magharibi.

  • Kushitakiwa Biden katika mahakama ya California kwa kuunga mkono mauaji ya kimbari

    Kushitakiwa Biden katika mahakama ya California kwa kuunga mkono mauaji ya kimbari

    Jan 29, 2024 03:34

    Sambamba na kuendelea jinai za Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza na sambamba na hatua ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ ya kutoa hukumu dhidi ya utawala wa Kizayuni kwa jinai zake hizo, hivi sasa wimbi la kulaani jinai za Wazayuni na waungaji mkono wake nalo linazidi kuwa kubwa, siku baada ya siku.

  • Palestina: Kwa siku 108, Israel imeua watoto 11,000 na wanawake 7,500 Gaza

    Palestina: Kwa siku 108, Israel imeua watoto 11,000 na wanawake 7,500 Gaza

    Jan 23, 2024 03:08

    Mamlaka za Palestina zimetangaza kuwa, jeshi vamizi la utawala wa Kizayuni wa Israel limeua watoto 11,000 na wanawake 7,500 katika Ukanda wa Gaza na kuongeza kuwa jeshi hilo katili limedondosha zaidi ya tani 65,000 za mada za miripuko katika vita vya upande mmoja lilivyoanzisha dhidi ya Wapalestina waliowekewa mzingiro.

  • HAMAS: Wapalestina 500,000 wa Gaza wapo katika hatari ya kufa njaa

    HAMAS: Wapalestina 500,000 wa Gaza wapo katika hatari ya kufa njaa

    Jan 22, 2024 23:40

    Afisa mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema zaidi ya watu nusu milioni wakazi wa Ukanda wa Gaza wapo katika hatari ya kufa njaa kutokana na taathira hasi za vita vya mauaji ya kimbari vya utawala wa Israel dhidi ya Wapalestina wa eneo hilo lililozingirwa.

  • Kesi iliyofunguliwa na A/Kusini dhidi ya Israel yaendelea kuungwa mkono

    Kesi iliyofunguliwa na A/Kusini dhidi ya Israel yaendelea kuungwa mkono

    Jan 21, 2024 23:28

    Kwa mara nyingine tena, Ubelgiji imejiunga kwenye safu ndefu ya waungaji mkono wa hatua ya Afrika ya Kusini ya kufungua kesi dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ kutokana na jinai zake za kupindukia dhidi ya watoto wachanga, wanawake, vizee na watu wa kawaida huko Ghaza.

  • Waliouawa shahidi Gaza wapindukia 25,000, Israel yaendeleza mashambulizi ya kinyama

    Waliouawa shahidi Gaza wapindukia 25,000, Israel yaendeleza mashambulizi ya kinyama

    Jan 21, 2024 10:09

    Maafisa wa Palestina katika Ukanda wa Gaza wametangaza kuwa, wakati vita angamizi vilivyoanzishwa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Gaza vimeingia katika siku yake ya 107 leo, hadi sasa Wapalestina 25,105 wameshauawa shahidi na 62,681 wamejeruhiwa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS