-
Sayyid Nasrullah: Gaza ni nembo ya umoja wa damu, silaha, medani na lengo la Umma wa Kiislamu
Jan 20, 2024 23:10Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah ametuma ujumbe katika Mkutano wa 12 wa Kimataifa wa "Gaza; Nembo ya Muqawama" na kusisitiza kuwa Gaza leo hii ni nembo ya umoja wa damu, silaha, medani na lengo la Umma wa Kiislamu.
-
Wananchi Uingereza waendeleza maandamano ya kuiunga mkono Gaza
Jan 20, 2024 23:09Maelfu ya watu nchini Uingereza kwa siku ya 15 mtawalia wamemiminika katika miji mbalimbali ya nchi hiyo kulaani na kupinga jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Gaza.
-
Baada ya kubanwa kila upande Israel, sasa Umoja wa Ulaya waomba kusimamishwa vita Ghaza
Jan 19, 2024 04:40Baada ya utawala wa Kizayuni kubanwa kila upande, kutokea Ghaza hadi kwenye mipaka ya Lebanon na kutokea Iraq hadi Yemen na Bahari Nyekundu, sasa Umoja wa Ulaya umetaka kusimamishwa vita kikamilifu katika Ukanda wa Ghaza na hii ikiwa ni mara ya kwanza kwa umoja huo unaoiunga mkono kikamilifu Israel, kuomba jambo kama hilo.
-
Kesi ya Afrika Kusini dhidi ya uhalifu wa Israel huko Gaza katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki
Jan 18, 2024 08:38Makaka yetu wiki hii itaangazia mashtaka yaliyowasilishwa na Afrika Kusini dhidi ya Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki, (IJC) kwa tuhuma za kufanya uhalifu wa kivita na mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Gaza huko Palestina.
-
Sababu za vita vya Gaza kuendelea kwa muda mrefu
Jan 17, 2024 01:03Licha ya kupita siku 100 tangu vita vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukanda wa Gaza vianze, lakini bado hakuna matarajio ya kumalizika kwa vita hivyo.
-
Kuanza kusikilizwa mashtaka ya Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki dhidi ya utawala wa Kizayuni
Jan 11, 2024 23:11Mahakama ya Kimataifa ya Haki yenye makao makuu yake mjini The Hague Uholanzi Alhamisi na Ijumaa inasikiliza na kukusanya mitazamo ya kisheria ya Afrika Kusini na utawala wa Kizayuni kuhusu kesi ya mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza. Moja ya shughuli za mahakama hiyo ni kushughulikia mashtaka yanayohusiana na Mkataba wa Mauaji ya Kimbari wa 1948. Mkataba huo unatambuliwa rasmi na nchi 153.
-
Umoja wa Mataifa: Vita vya Gaza lazima vikomeshwe
Jan 07, 2024 07:44Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na Masuala ya Kibinadamu Martin Griffiths amesema ni lazima Jamii ya Kimataifa itumie "ushawishi wake wote" kumaliza vita katika Ukanda wa Gaza.
-
Kamisheni Kuu ya Haki za Binadamu UN yasisitiza tena: Ni marufuku kuwalazimisha watu wa Gaza kuhama nchi yao
Jan 05, 2024 03:26Kamishna Mkuu wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa amepinga matamshi yaliyotolewa na viongozi wa serikali ya Israel kuhusu suala la kuwahamisha watu wa Ukanda wa Gaza na kuwapeleka katika nchi zingine.
-
Sisitizo la Umoja wa Mataifa kuwa kuhamishwa kwa nguvu wakazi wa Gaza ni sawa na mauaji ya halaiki
Jan 04, 2024 08:00Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa siku ya Jumatano alisema kuwa kuhamishwa kwa nguvu na kufukuzwa watu wa Gaza ni "mauaji ya halaiki" na kuzionya nchi zisishiriki katika hatua hiyo ya kijinai.
-
Umoja wa Mataifa: Kuwahamisha kwa nguvu Wapalestina wa Gaza ni sawa na mauaji ya kizazi
Jan 04, 2024 07:41Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, unapinga kile kinachoonekana kama mpango wa kutaka kuwahamisha kwa nguvu Wapalestina wa Ukanda wa Gaza na kusisitiza kuwa, hatua haina tofauti na mauaji ya kimbari.