-
Kususiwa Biden na Waislamu wa Marekani katika uchaguzi wa mwaka huu (2024)
Jan 02, 2024 04:55Huku Rais Joe Biden wa Marekani akiendelea kuunga mkono jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni katika vita vya Gaza, Waislamu wa Marekani wameanzisha kampeni dhidi ya Trump katika majimbo kadhaa muhimu kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka huu wa 2024.
-
Vituo vya matibabu ya akili vyataka kutangazwa hali ya hatari Israel
Jan 01, 2024 23:19Gazeti moja la utawala wa Kizayuni limefichua kuwa, tangu ilipoanza operesheni ya #Kimbunga_cha_al-Aqsa hadi hivi sasa, zaidi ya wakazi laki tatu wa utawala wa Kizayuni wameingia kwenye orodha ya watu wenye matatizo ya akili na saikolojia huko Israel.
-
Hatua mpya ya serikali ya Biden ya kuuunga mkono utawala wa Kizayuni
Dec 30, 2023 07:42Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani imetangaza kupitia taarifa kuwa imetumia mamlaka iliyopewa kisheria kuuzia utawala wa haramu wa Israel shehena ya silaha bila idhini ya wabunge wa Kongresi ya nchi hiyo.
-
Marais wa Iran na Misri wahimiza kustawishwa uhusino wa nchi mbili katika nyuga zote
Dec 23, 2023 23:08Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumza kwa simu na rais mwenzake wa Misri na kutilia mkazo udharura wa kustawishwa uhusiano wa nchi hizi mbili katika nyuga tofauti.
-
Wanasiasa wataka kufunguliwa mashitaka Wafaransa waliojiunga na jeshi la Israel kuua raia Gaza
Dec 23, 2023 08:29Katika kashfa mpya ambayo inaendelea kutikisa misingi ya jamii ya Ufaransa na sambamba misimamo ya inayobadilika badilika ya serikali ya Paris kuhusu mashambulizi ya Israel Ukanda wa Gaza, mbunge Thomas Portes wa chama cha "Fahari ya Ufaransa" amefichua uwepo wa Wafaransa 4,185 katika safu za jeshi la Israel linaloendelea kuua raia wa Palestina hususan wanawake na watoto wa Gaza.
-
WFP yatahadharisha kuhusu mgogoro wa njaa Ukanda wa Gaza
Dec 22, 2023 04:46Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetahadharisha kuwa Ukanda wa Gaza utakumbwa na mgogoro wa njaa iwapo vita vitaendelea katika eneo hilo.
-
Onyo la Macron kuhusu kuharibiwa Gaza na Wazayuni
Dec 21, 2023 22:59Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ametahadharisha kuhusu uwezekano wa kuangamizwa Ukanda wa Gaza kwa mashambulizi kipofu ya utawala haramu wa Israel huku mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina yakiendelezwa na utawala huo katili katika ukanda huo.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran azungumza na waziri mwenzake wa Afrika Kusini, Ghaza maudhui kuu
Dec 20, 2023 23:58Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na waziri mwenzake wa mambo ya nje wa Afrika Kusini na kujadiliana naye masuala mbalimbali muhimu ya pande mbili, ya kieneo na ya kimataifa na hasa vita vya Ghaza huko Palestina.
-
Umoja wa Mataifa wataka kuundwa Mahakama maalumu ya vita vya Gaza
Dec 20, 2023 04:21Huku mashambulizi na mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni wa Israel yakiendelea Gaza, Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na masuala ya kibinadamu ametoa wito wa kuundwa mahakama maalumu kuhusiana na vita hivyo.
-
Wapalestina 200 wameuawa shahidi Gaza katika masaa kadhaa yaliyopita
Dec 12, 2023 08:29Wizara ya Afya ya Palestina huko Gaza imetangaza kuwa Wapalestina zaidi ya 200 wameuawa shahidi huko katika Ukanda wa Gaza katika masaa kadhaa yaliyopita.