Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ghaza

  • Mazungumzo ya Sheikh Tamim na Ismail Hania; kuendelea uungaji mkono wa Qatar kwa Gaza

    Mazungumzo ya Sheikh Tamim na Ismail Hania; kuendelea uungaji mkono wa Qatar kwa Gaza

    Feb 09, 2018 22:08

    Siku ya Alkhamisi, Sheikh Tamim bin Ahmad Aal Thani, Amir wa Qatar alifanya mazungumzo na Ismail Hania, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS. Baada ya mazuangumzo hayo, Sheikh Tamim alitoa msaada wa Dola milioni 9 kwa ajili ya watu wa Ukanda wa Gaza.

  • Hamas: Kushambuliwa Ghaza; ni njama zilizofeli za kutaka kuzima Intifadha ya Quds

    Hamas: Kushambuliwa Ghaza; ni njama zilizofeli za kutaka kuzima Intifadha ya Quds

    Dec 18, 2017 23:19

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imetangaza kuwa mashambulizi makubwa ya ndege za kivita za utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Ghaza ni njama zilizofeli za kutaka kuzima mapambano ya Intifadha ya kuiunga mkono Quds katika ardhi zote za Palestina.

  • Hamas: Hakuna nchi inayoitwa 'Israel' hata mji mkuu wake uwe 'Quds'

    Hamas: Hakuna nchi inayoitwa 'Israel' hata mji mkuu wake uwe 'Quds'

    Dec 14, 2017 12:31

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imelaani vikali uamuzi wa Rais wa Marekani, Donald Trump wa kuitangaza Baytul Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel na kusisitiza kuwa, hakuna dola linaloitwa Israel hata mji mkuu wake uwe Quds tukufu.

  • ICC yakataa kuifungulia mashtaka Israel kwa kuvamia msafara wa wanaharakati na kuua

    ICC yakataa kuifungulia mashtaka Israel kwa kuvamia msafara wa wanaharakati na kuua

    Dec 01, 2017 04:01

    Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC imesema haitaufungulia mashtaka utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na uvamizi uliofanywa na makomandoo wake dhidi ya msafara wa misaada kwa ajili ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza katika maji ya kimataifa mwaka 2010.

  • Umasikini waongezeka katika eneo la Ukanda wa Gaza, Palestina

    Umasikini waongezeka katika eneo la Ukanda wa Gaza, Palestina

    Oct 22, 2017 23:19

    Uchunguzi mpya uliofanywa unaonyesha kuwa, umasikini katika eneo la Ukanda wa Gaza huko Palestina umeongezeka katika kipindi cha muongo mmoja wa mzingiro wa utawala haramu wa Israel katika eneo hilo.

  • Hamas yaafiki kuvunja serikali yake Ghaza kwa ajili ya Umoja wa Palestina

    Hamas yaafiki kuvunja serikali yake Ghaza kwa ajili ya Umoja wa Palestina

    Sep 17, 2017 23:13

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imekubali sharti kubwa lililowekwa na chama cha Fat'h cha Mahmoud Abbas ikiwa ni pamoja na kufanyika chaguzi za kitaifa Ukingo wa Magharibi na Ukanda wa Ghaza.

  • HAMAS yawasilisha kwa Misri mpango wa kupunguza makali ya mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza

    HAMAS yawasilisha kwa Misri mpango wa kupunguza makali ya mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza

    Aug 23, 2017 03:15

    Mjumbe mwandamizi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema harakati hiyo imewasilisha kwa serikali ya Misri mpango wa mapendekezo kadhaa ya kupunguza makali ya mzingiro uliowekwa dhidi ya eneo la Ukanda wa Gaza.

  • Mahmoud Abbas aendelea kutoa vitisho dhidi ya Wapalestina wa Gaza

    Mahmoud Abbas aendelea kutoa vitisho dhidi ya Wapalestina wa Gaza

    Aug 16, 2017 02:49

    Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ametishia tena kuchukua hatua kali zaidi za kuwaadhibu Wapalestina wa eneo la Ukanda wa Gaza.

  • Abbas azidi kuwabinya Wapalestina, akata mitandao ya kijamii

    Abbas azidi kuwabinya Wapalestina, akata mitandao ya kijamii

    Aug 11, 2017 03:10

    Katika hatua inayoonekana ni ya kuzidi kuwawekea mbinyo Wapalestina, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina Mahmoud Abbas amepasisha dikrii ya kutaka kufungwa mara moja mitandao ya kijamii na tovuti za habari katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Ndege za Israel zashambulia Wapalestina wa Ukanda wa Gaza

    Ndege za Israel zashambulia Wapalestina wa Ukanda wa Gaza

    Aug 09, 2017 02:50

    Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel zimeshambulia makazi ya Wapalestina wa Gaza usiku wa kuamkia leo na kujeruhi watu kadhaa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS