Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ghaza

  • Oxfam: Israel na Mamlaka ya Ndani Palestina zinahusika na mgogoro wa Ghaza

    Oxfam: Israel na Mamlaka ya Ndani Palestina zinahusika na mgogoro wa Ghaza

    Aug 07, 2017 10:28

    Mwakilishi wa shirika la misaada ya kibinadamu la Oxfam huko katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ameutaja utawala wa Kizayuni wa Israel na Mamlaka ya Ndani ya Palestina kuwa zinahusika na kushtadi mgogoro katika Ukanda wa Ghaza.

  • Vikwazo, vizuizi, uhaba, sababu tatu za hatari ya kufa wagonjwa Ukanda wa Ghaza

    Vikwazo, vizuizi, uhaba, sababu tatu za hatari ya kufa wagonjwa Ukanda wa Ghaza

    Jul 14, 2017 22:01

    Jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel zingali zinaendelea dhidi ya wakazi wa Ukanda wa Ghaza na hivi sasa jinai hizo zinawasababishia vifo vya kila namna wakazi hao waliozingirwa kila upande.

  • Haniya: Haiwezekani kutenganisha baina ya Gaza na Ukingo wa Magharibi

    Haniya: Haiwezekani kutenganisha baina ya Gaza na Ukingo wa Magharibi

    Jul 12, 2017 10:01

    Mkuu wa Idara ya Siasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa, harakati hiyo iko tayari kukomesha mgawanyiko ulioko huko Palestina na kwamba eneo la Gaza kamwe halitatenganishwa na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Ndege za Israel zawavurumishia mabomu Wapalestina Ukanda wa Ghaza

    Ndege za Israel zawavurumishia mabomu Wapalestina Ukanda wa Ghaza

    Jun 27, 2017 03:27

    Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel zimevurumisha makombora kadhaa katika Ukanda wa Ghaza wakati Wapalestina katika eneo hilo wakiwa wanasherehekea siku kuu ya Idul Fitr.

  • Mahmoud Abbas aendelea kuwakomoa Wapalestina wa Gaza; aamua kuwastaafisha askari 1,000 kwa nguvu

    Mahmoud Abbas aendelea kuwakomoa Wapalestina wa Gaza; aamua kuwastaafisha askari 1,000 kwa nguvu

    Jun 19, 2017 03:31

    Katika muendelezo wa hatua za kuwakomoa Wapalestina wa Ukanda wa Gaza, Mahmoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameunda kamati ya usalama kwa lengo la kuwastaafisha kwa nguvu na kabla ya wakati askari elfu moja wa eneo hilo.

  • UN yalaani Israel kuwazimia umeme Wapalestina  Ghaza

    UN yalaani Israel kuwazimia umeme Wapalestina Ghaza

    Jun 15, 2017 02:55

    Umoja wa Mataifa umelaani hatua ya utawala haramu wa Israel kuwazimia kwa muda mrefu umeme Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza.

  • Iran yawapa futari mamia ya maelfu ya Wapalestina wanaozingirwa Ghaza

    Iran yawapa futari mamia ya maelfu ya Wapalestina wanaozingirwa Ghaza

    May 30, 2017 00:00

    Hilali Nyekundu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inatekeleza mpango wa kuwapa futari Wapalestina karibu laki mbili katika eneo la Ukanda wa Ghaza ambalo liko chini ya mzingiro wa kinyama wa utawala haramu wa Israel.

  • Mamlaka ya Ndani ya Palestina bega kwa bega na Israel katika kuuhujumu Ukanda wa Gaza

    Mamlaka ya Ndani ya Palestina bega kwa bega na Israel katika kuuhujumu Ukanda wa Gaza

    May 12, 2017 22:02

    Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imeifunga ofisi yake katika Ukanda wa Gaza na kukabidhi mamlaka ya uendeshaji wake kwa ofisi ya jumuiya hiyo iliyoko Ramallah, Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • UN: Ujenzi wa vitongoji katika ardhi za Palestina ni haramu na inapasa usimamishwe kikamilifu

    UN: Ujenzi wa vitongoji katika ardhi za Palestina ni haramu na inapasa usimamishwe kikamilifu

    Apr 22, 2017 11:55

    Mratibu wa amani wa Umoja wa Mataifa amesema, kwa mujibu wa sheria za kimataifa, ujenzi wa vitongoji unaofanywa na Israel katika ardhi unazozikalia kwa mabavu za Palestina ni kinyume cha sheria na inapasa usimamishwe kikamilifu.

  • Wanawake wa Ghaza waandamana kuwaunga mkono mateka wa Palestina

    Wanawake wa Ghaza waandamana kuwaunga mkono mateka wa Palestina

    Mar 16, 2017 11:11

    Makumi ya wanawake wa Kipalestina wakazi wa Ukanda wa Ghaza wameandamana katika eneo hilo kuonyesha mshikamamo wao kwa mateka wanawake wa Kipalestina ambao wanashikiliwa katika jela za utawala haramu wa Kizayuni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS