-
Israel inataka kujenga kisiwa katika pwani ya Ghaza
Mar 14, 2017 03:47Kanali ya kwanza ya televisheni ya utawala wa Kizayuni imetangaza kuwa waziri wa usafirishaji wa Israel amekutana na kufanya mazungumzo na maafisa kadhaa wa nchi za Kiarabu kwa minajili ya kuchunguza mpango wa kujenga kisiwa karibu na pwani ya Ukanda wa Ghaza katika kile kinachoonekana ni kutaka kuwadhibiti zaidi Wapalestina.
-
Afisa wa Israel akiri jeshi la utawala wa Kizayuni lilishindwa katika vita vya siku 50 Ukanda wa Gaza
Mar 01, 2017 00:57Kamanda wa zamani katika jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel eneo, amekiri wazi kwamba jeshi na serikali yote ya utawala huo, vilishindwa katika vita ya siku 50 dhidi ya Ukanda wa Gaza, Palestina.
-
Mwakilishi wa Hamas Tehran: Iran ni muungaji mkono wetu pekee katika eneo
Jan 16, 2017 23:34Mwakilishi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) hapa Tehran amesema kuwa njia pekee ya kukabiliana na utawala wa Kizayuni ni kuendeleza muqawama na kwamba ishara ya wazi zaidi ya mapambano hayo ni Intifadha.
-
Ukuta wa uzio katika mpaka wa Gaza; dharau ya Israel kwa Baraza la Usalama la UN
Jan 11, 2017 11:30Wakati Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio nambari 2234 la kuutaka utawala wa Kizayuni wa Israel usimamishe ujenzi wa vitongoji katika ardhi za Palestina unazozikalia kwa mabavu, waziri wa vita wa utawala huo haramu ameafiki shauri la kujengwa ukuta wa uzio katika mipaka ya Ukanda wa Gaza.
-
Kukiri duru za Kizayuni juu ya kuwa mbaya hali ya Gaza
Dec 30, 2016 04:25Kituo kimoja cha haki za binadamu cha Israel kimekiri kwamba, utawala wa Kizayuni wa Israel umekuwa ukiifanya kuwa mbaya siku baada ya siku hali ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza huko Palestina.
-
Hamas yaikosoa ICC kwa kutoutembelea Ukanda wa Gaza
Oct 09, 2016 04:48Harakati ya muqawama wa Palestina Hamas imesema safari ya ujumbe wa maafisa wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu haina maana na umuhimu wowote, madhali wataalamu hao wa masuala ya sheria watakosa kuutembelea Ukanda wa Gaza.
-
Israel yafanya njama za kuendeleza mzingiro wa kidhulma Ukanda wa Gaza
Oct 03, 2016 00:29Utawala wa Kizayuni wa Israel unajiandaa kuishambulia meli ya al Zaituna na vile vile kuwazua wanaharakati wa kimataifa kuwasili huko Ukanda wa Gaza.
-
Israel yamtia mbaroni mwakilishi wa UN Ukanda wa Ghaza
Aug 09, 2016 23:13Utawala wa Kizayuni umemtia mbaroni mwakilishi wa Umoja wa Mataifa katika Ukanda wa Ghaza kwa tuhuma za kuwa na ushirikiano na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas.
-
Ndege za kivita za Israel zaendelea kukiuka usitishwaji vita Ghaza
Jul 14, 2016 02:09Ndege za kivita za utawala haramu wa Israel zimetekeleza hujuma nyingine katika Ukanda wa Ghaza ikiwa ni ukikwaji wa usitishwaji vita katika eneo hilo la Palestina lililo chini ya mzingiro.
-
Israel kujenga ukuta wa chini ya ardhi huko Ghaza
Jun 17, 2016 23:58Israel inajiandaa kujenga ukuta mkubwa wa saruji huko Ukanda wa Ghaza. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti ya gazeti la Kizayuni la Yedioth Ahronoth