-
UN na jumuiya za kimataifa zapinga hukumu ya kimaonyesho ya Saudia kuhusu mauaji ya Khashoggi
Dec 25, 2019 07:07Utawala wa kifalme wa Saudi Arabia una historia ndefe ya ukiukaji wa haki za binadamu na kukandamiza wapinzani wake ndani naa nje ya nchi hiyo. Miongoni mwa vielelezo vya wazi vya ukatili na ukandamizaji mkubwa wa haki za binadamu wa Saudia ni mauaji ya kutisha yaliyofanywa na maajenti wa utawala huo dhidi ya mwandishi na mpiznni wa serikali ya Riyadh, Jamal Khashoggi.
-
Wakristo, Wayahudi na Wazartoshi wa Iran walaani azimio la haki za binadamu dhidi ya Tehran
Dec 23, 2019 02:40Wawakilishi wa dini za waliowachache katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) wamelaani azimio la haki za binadamu lililotolewa dhidi ya Iran na kuitaka Wizara ya Mambo ya Nje kufuatilia misimamo ya nchi adui na kuzima njama zinazofanywa dhidi ya Iran katika nyanja za kimataifa.
-
Iran yakosoa azimio la kisiasa la UN juu ya haki za binadamu nchini
Dec 19, 2019 12:40Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran inakosoa vikali azimio lililopasishwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu eti ukiukaji wa haki za binadamu hapa nchini.
-
Syria yakosoa jinai zinazofanywa na Marekani dhidi ya binadamu na haki zake
Dec 13, 2019 10:29Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imeikosoa Marekani kutokana na jinai zake dhidi ya ubinadamu na haki za binadamu katika maeneo mbalimbali ya dunia na imetoa wito wa kufanyika uchunguzi wa kimataifa kuhusiana na jinai hizo.
-
Amnesty International: Uamuzi wa Tanzania katika Mahakama ya Afrika utazidisha ukandamizaji
Dec 03, 2019 14:19Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International, limesema uamuzi wa Tanzania kujitoa katika kifungu kinachowawezesha raia na mashirika yasiyo ya kiserikali kuishtaki serikali katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu yenye makao yake katika mji wa Arusha unahatarisha ongezeko la ukandamizaji nchini humo.
-
Algeria yalaani taarifa ya Bunge la Ulaya, yasema inaingilia masuala yake ya ndani
Nov 29, 2019 09:25Serikali ya Algeria imelaani vikali taarifa iliyotolewa na Bunge la Ulaya kuhusu hali ya ndani ya nchi hiyo ikisisitiza kuwa hatua hiyo ni kuingilia masuala ya ndani ya nchi nyingine.
-
Jumuiya za kimataifa zapinga uteuzi wa Ghada Wali kuwa Mkurugenzi wa UNODC
Nov 25, 2019 02:52Jumuiya za kimataifa za kutetea haki za binadamu zimepinga uteuzi uliofanywa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres na kumtangaza Ghada Wali, Waziri wa Ustawi za Jamii wa Misri kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kupambana na Mihadarati na Jinai (UNODC).
-
HRW: Maelfu ya watu wametoweka nchini Misri katika utawala wa al Sisi
Nov 21, 2019 07:35Ripoti iliyotayarishwa na shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch kwa kushirikiana na Kituo cha Shihab na tasisi ya Uadilifu kwa Ajili ya Haki za Binadamu imesema kuwa, idadi ya jela nchini Misri imefikia 68 na kwamba jela 26 kati yazo zimejengwa katika kipindi cha utawala wa Rais wa sasa wa nchi hiyo Jenerali Abdel Fattah al Sisi.
-
Raisi: Uislamu ndio unaolinda haki za binadamu, si Wamagharibi
Nov 17, 2019 08:15Mkuu wa Vyombo vya Mahakama vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa dhana kuwa nchi za Magharibi ndio walinzi wa haki za binadamu na kueleza bayana kuwa, Uislamu ndio umelinda na kuheshimu kikamilifu haki za binadamu.
-
Nchi za Ulaya zaeleza wasiwasi wao kuhusu rekodi mbaya ya haki za binadamu ya Misri
Nov 15, 2019 01:24Nchi kadhaa za Ulaya zimeishutumu serikali ya Misri kwa ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu, huku wanadiplomasia wa Umoja wa Mataifa wakieleza wasiwasi wao kuhusu ongezeko la ukandamizaji wa uhuru wa kujieleza katika nchi hiyo inayoongozwa na Jenerali Abdel Fattah al Sisi.