-
Javad Larijani akosoa vikwazo vya kidhalimu vya Marekani dhidi ya Iran
Nov 09, 2019 04:45Katibu wa Idara ya Haki za Binadamu katika Vyombo vya Mahakama vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa kuendelea vikwazo vya kidhalimu vya Marekani dhidi ya Iran.
-
Amnesty, HRW zaijia juu serikali ya Tanzania kwa kukiuka haki za binadamu
Oct 28, 2019 12:28Mashirika ya kutetea haki za binadamu ya Amnesty International na Human Rights Watch yameituhumu serikali ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli kuwa inakiuka haki za binadamu.
-
Bunge la Ulaya lailaani serikali ya Misri kwa kukiuka haki za binadamu
Oct 25, 2019 02:51Bunge la Ulaya linalokutana Strasbourg nchini Ufaransa limepasisha azimio la kuilaani serikali ya Misri kutokana na ukiukaji wake wa haki za binadamu.
-
Haki za Binadamu; mchezo mchafu wa siasa za Magharibi dhidi ya Iran
Oct 24, 2019 12:15Moja ya silaha zinazotumiwa na Magharibi katika kuamiliana na nchi zenye misimamo huru ni kutumia maudhui ya haki za binadamu; na katika hilo, mtazamo wa upande mmoja tu na wa Kimagharibi kwa maudhui hiyo katika jamii ambayo ni ya Kiislamu, inayojitawala na yenye misimamo huru ni aina mojawapo ya undumakuwili unaombatana na siasa chafu.
-
UN yawataka Wazayuni waache kuzikalia kwa mabavu ardhi za Palestina
Oct 24, 2019 06:17Ripota wa masuala ya haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa ameitaka jamii ya kimataifa isiendelee kukaa kimya bali iuchukulie hatua utawala dhalimu wa Israel na kuulazimisha uache kuzikalia kwa mabavu ardhi za Wapalestina.
-
Mashirika ya haki za Binadamu: Mwaka huu pekee, Saudia imenyonga wapinzani 130 wa Bin Salman
Sep 14, 2019 03:08Shirika la kupinga adhabu ya kifo limetangaza kuwa utawala wa kifalme wa Saudi Arabia umenyonga watu zaidi ya 130 katika mwaka huu, aghlabu yao wakiwa wapinzani wa mrithi wa ufalme wa nchi hiyo, Muhammad bin Salman.
-
Kamisheni ya Haki za Binadamu: Saudia imehusika katika mauaji ya Waislamu Nigeria
Sep 11, 2019 06:54Mkuu wa Kamisheni ya Kiislamu ya Haki za Binadamu (IHRC) yenye makao makuu yake mjini London, Uingereza amesema ni mantiki kuhukumu kuwa kulikweko na mkono wa Saudi Arabia katika mauaji ya Waislamu waliokuwa katika maombolezo ya Siku ya Ashura (tarehe 10 Muharram) wakikumbuka mauaji ya mjukuu wa Mtume Muhammad (saw), Imam Hussein AS hapo jana nchini Nigeria.
-
Waziri wa Ujerumani ayataja mauaji ya kipindi cha ukoloni Namibia kuwa ni "mauaji ya kimbari"
Sep 03, 2019 03:06Waziri wa Ushirikiano wa Uchumi na Maendeleo wa Ujerumani ameyataja mauaji yaliyofanywa na Wajerumani dhidi ya watu wa makabila la Herero na Nama huko Namibia, zaidi ya karne moja iliyopita, kuwa yalikuwa mauaji ya kimbari.
-
Wanaharakati wa haki za binadamu waikosoa Microsoft kwa kushirikiana na kampuni ya Israel
Aug 07, 2019 06:40Mashirika na jumuia za kutetea haki za binadamu zimeikosoa kampuni ya Kimarekani ya Microsoft kwa kuwekeza katika kampuni ya Kizayuni ya AnyVision.
-
Mkutano wa Nne wa Kimataifa wa Haki za Binadamu za Kiislamu waanza Tehran
Aug 04, 2019 14:15Mkutano wa Nne wa Kimataifa wa Haki za Binadamu za Kiislamu umeanza leo mjini Tehran ukihudhuriwa na wataalamu wa Kiirani na wasomi na wanafikra kutoka nchi za Kiislamu.