-
Mashirika ya haki za Binadamu: Mwaka huu pekee, Saudia imenyonga wapinzani 130 wa Bin Salman
Sep 13, 2019 22:38Shirika la kupinga adhabu ya kifo limetangaza kuwa utawala wa kifalme wa Saudi Arabia umenyonga watu zaidi ya 130 katika mwaka huu, aghlabu yao wakiwa wapinzani wa mrithi wa ufalme wa nchi hiyo, Muhammad bin Salman.
-
Kamisheni ya Haki za Binadamu: Saudia imehusika katika mauaji ya Waislamu Nigeria
Sep 11, 2019 02:24Mkuu wa Kamisheni ya Kiislamu ya Haki za Binadamu (IHRC) yenye makao makuu yake mjini London, Uingereza amesema ni mantiki kuhukumu kuwa kulikweko na mkono wa Saudi Arabia katika mauaji ya Waislamu waliokuwa katika maombolezo ya Siku ya Ashura (tarehe 10 Muharram) wakikumbuka mauaji ya mjukuu wa Mtume Muhammad (saw), Imam Hussein AS hapo jana nchini Nigeria.
-
Waziri wa Ujerumani ayataja mauaji ya kipindi cha ukoloni Namibia kuwa ni "mauaji ya kimbari"
Sep 02, 2019 22:36Waziri wa Ushirikiano wa Uchumi na Maendeleo wa Ujerumani ameyataja mauaji yaliyofanywa na Wajerumani dhidi ya watu wa makabila la Herero na Nama huko Namibia, zaidi ya karne moja iliyopita, kuwa yalikuwa mauaji ya kimbari.
-
Wanaharakati wa haki za binadamu waikosoa Microsoft kwa kushirikiana na kampuni ya Israel
Aug 07, 2019 02:10Mashirika na jumuia za kutetea haki za binadamu zimeikosoa kampuni ya Kimarekani ya Microsoft kwa kuwekeza katika kampuni ya Kizayuni ya AnyVision.
-
Mkutano wa Nne wa Kimataifa wa Haki za Binadamu za Kiislamu waanza Tehran
Aug 04, 2019 09:45Mkutano wa Nne wa Kimataifa wa Haki za Binadamu za Kiislamu umeanza leo mjini Tehran ukihudhuriwa na wataalamu wa Kiirani na wasomi na wanafikra kutoka nchi za Kiislamu.
-
HRW, Amnesty zataka kufungwa vituo vya kuwazuilia wahajiri Libya
Jul 12, 2019 10:48Mashirika ya kutetea haki za binadamu ya Human Rights Watch, Amnesty International na Baraza la Ulaya la Wakimbizi na Wahajiri (ECRE) yametoa mwito wa kufungwa kambi za kuwazuilia wakimbizi na wahajiri nchini Libya.
-
Wanaharakati mjini London, Uingereza wataka kuachiliwa huru Sheikh Zakzaky
Jul 09, 2019 23:50Wanaharakati wa Kiislamu na wa haki za binadamu mjini London Uingereza wamelaani vikali kuendelea kushikiliwa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria pamoja na mkewe na kutoa wito wa kuachiliwa huru wawili hao.
-
Amir Abdolahian: Njia ya chini ya ardhi ya Msikiti wa al Aqsa ni uvunjaji wa wazi wa haki za binadamu
Jul 03, 2019 22:11Katibu Mkuu wa Mkutano wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Palestina amesema kuwa, kufunguliwa njia ya chini ya ardhi inayopitia chini ya Msikiti wa al Aqsa ni uvunjaji wa wazi wa sheria za kimataifa na maazimio ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO).
-
UN yalitaka jeshi la Sudan liache kukandamiza wananchi
Jun 24, 2019 22:47Kamishna Mkuu ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa amewataka wanajeshi wa Sudan waache mara moja kuwakandamiza raia.
-
HRW: Saudi Arabia inapanga kumnyonga mtafiti Hassan al Maliki
Jun 24, 2019 00:53Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rigths Watch limetangaza kuwa utawala wa Saudi Arabia unakusudia kumhukumu na kumnyonga msomi na mtafiti maarufu Hassan Farhan al Maliki.