Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

HAMAS

  • HAMAS yalaani uratibu wa kiusalama baina na Mamlaka ya Ndani ya Palestina na Israel

    HAMAS yalaani uratibu wa kiusalama baina na Mamlaka ya Ndani ya Palestina na Israel

    Oct 18, 2021 04:40

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amekosoa vikali uratibu na ushirikiano wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.

  • HAMAS yapongeza jitihada za kupokonywa Israel uanachama wa AU

    HAMAS yapongeza jitihada za kupokonywa Israel uanachama wa AU

    Oct 18, 2021 00:23

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imepongeza na kuunga mkono jitihada zinazoendelea za kuupokonya utawala wa Kizayuni wa Israel kibali cha kuwa mwanachama mtazamaji wa Umoja wa Afrika (AU).

  • HAMAS yakosoa hatua ya Saudia ya kuusifu utawala haramu wa Israel

    HAMAS yakosoa hatua ya Saudia ya kuusifu utawala haramu wa Israel

    Oct 17, 2021 08:56

    Moussa Abu Marzouk, mjumbe mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amekosoa vikali matamshi ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Saudi Arabia na kueleza kwamba, hakuna wakati wowote ule ambao Israel ilikuwa sababu ya amani na uthabiti Asia Magharibi na wala hakuna wakati itakuwa hivyo.

  • Hamas yamkosoa rais wa FIFA kwa kuunga mkono utawala wa Israel

    Hamas yamkosoa rais wa FIFA kwa kuunga mkono utawala wa Israel

    Oct 15, 2021 10:40

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestiina (Hamas) imesema hatua ya rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) ya kushiriki katika ufunguzi wa jengo moja la makumbusho mjini Jerusalem (Quds) ambalo liko katika makaburi ya Wapalestina ni sawa na kuunga mkono uhasama wa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Az-Zahar: Uingereza ndio iliyoandaa mazingira ya Palestina kuvamiwa na kukaliwa kwa mabavu na Wazayuni

    Az-Zahar: Uingereza ndio iliyoandaa mazingira ya Palestina kuvamiwa na kukaliwa kwa mabavu na Wazayuni

    Oct 07, 2021 01:06

    Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, wavamizi wa Kiingereza ndio walioandaa mazingira kwa Wazayuni kuvamia na kuikalia kwa mabavu ardhi ya Palestina.

  • "Kujipendekeza Abbas kwa Israel kunaashiria kudidimia Mamlaka ya Ndani Palestina"

    Oct 05, 2021 04:30

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imekosoa vikali hatua ya Mamhoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ya kujidhalilisha na kuwaangukia miguuni maafisa wa utawala wa Kizayuni wa Israel na kusisitiza kuwa, kitendo hicho kinaonesha namna mamlaka hiyo inavyoendelea kudidimia na kusambaratika.

  • HAMAS yalaani vikao vya viongozi wa Palestina na mawaziri, wabunge wa utawala wa Kizayuni

    HAMAS yalaani vikao vya viongozi wa Palestina na mawaziri, wabunge wa utawala wa Kizayuni

    Sep 25, 2021 00:12

    Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amelaani vikao vinavyofanywa baina ya maafisa wa Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina na wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.

  • Sudan yacheza ngoma ya Wazayuni, yatwaa mali za harakati ya Hamas

    Sudan yacheza ngoma ya Wazayuni, yatwaa mali za harakati ya Hamas

    Sep 23, 2021 22:47

    Serikali ya Sudan imefuata nyayo za utawala katili wa Israel na kuchukua hatua ya kutwaa mali na milki za Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, HAMAS.

  • Hamas yatahadharisha kuhusu hatari ya kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Hamas yatahadharisha kuhusu hatari ya kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Sep 19, 2021 12:03

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, (HAMAS) imetahadharisha kuhusu hatari za kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel na taathira zake mbaya kwa mapambano ya ukombozi wa Palestina.

  • HAMAS yawataka Wapalestina wauhami Msikiti wa Aqsa

    HAMAS yawataka Wapalestina wauhami Msikiti wa Aqsa

    Sep 05, 2021 22:34

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) katika mji wa Quds Tukufu ametoa mwito kwa Wapalestina kujitokeza kwa wingi katika Msikiti wa al-Aqsa ili kuuhami na kuulinda dhidi ya uvamizi wa Walowezi wa Kizayuni, wakati wa sherehe na matambiko yao.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS