Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

HAMAS

  • Hamas yapinga masharti ya Marekani kwa shirika la UNRWA

    Hamas yapinga masharti ya Marekani kwa shirika la UNRWA

    Sep 03, 2021 03:34

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imepinga suala la kuanza tena shughuli za shirika la Umoja wa Mataifa la misaada ya kibinadamu kwa Wapalestina, UNRWA kwa kifupi.

  • Mahmoud Abbas 'amewapiga jambia' Wapalestina kwa kukutana na Gantz

    Mahmoud Abbas 'amewapiga jambia' Wapalestina kwa kukutana na Gantz

    Aug 30, 2021 06:52

    Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina HAMAS amesema kitendo cha Mamhoumd Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina kukutana na kufanya mazungumzo na Benny Gantz, Waziri wa Vita wa utawala haramu wa Israel ni sawa na kuwachoma jambia kwa nyuma Wapalestina.

  • HAMAS: Wapalestina watapambana ili kujikomboa na kupata uhuru wao

    HAMAS: Wapalestina watapambana ili kujikomboa na kupata uhuru wao

    Aug 29, 2021 10:09

    Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina HAMAS amesema, Wapalestina hawatavumilia katu kufanyiwa mapatano haki zao za kitaifa na watapambana ili kujikomboa na kupata uhuru wao.

  • HAMAS: Israel inamiliki mabomu ya atomiki, sisi hatupaswi kuwa hata na bunduki ya kujihami?

    HAMAS: Israel inamiliki mabomu ya atomiki, sisi hatupaswi kuwa hata na bunduki ya kujihami?

    Aug 26, 2021 03:34

    Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amekosoa vikali jinai za utawala ghasibu wa Israel na kuhoji kwa kuuliza, utawala huo unamiliki mabomu ya nyuklia, sisi hatupaswi kumiliki hata bunduki ya kujihami?

  • Haniya: Upanga wa Quds ulisambaratisha njama za kuuchafua muqawama

    Haniya: Upanga wa Quds ulisambaratisha njama za kuuchafua muqawama

    Aug 22, 2021 23:03

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema vita vya Saif al Quds (Upanga wa Quds) vilizima njama na juhudi zote za kutaka kuipaka matope kambi ya muqawama.

  • Wapalestina watakiwa wajitokeze kwa wingi katika kumbukumbu ya kuchomwa moto Msikiti wa Al Aqsa

    Wapalestina watakiwa wajitokeze kwa wingi katika kumbukumbu ya kuchomwa moto Msikiti wa Al Aqsa

    Aug 20, 2021 03:36

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa mwito kwa Wapalestina kujitokeza kwa wingi katika maandamano ya kukumbuka tukio la kuchomwa moto msikiti wa Al Aqsa.

  • Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya HAMAS yataka kuhitimishwa mzingiro dhidi ya Gaza

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya HAMAS yataka kuhitimishwa mzingiro dhidi ya Gaza

    Aug 15, 2021 03:27

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) ametoa wito wa kuhitimishwa mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza unaofanywa na utawala haramu wa Israel.

  • Qalibaf: Vita vya 'Upanga wa Quds' viliwapa izza Waislamu

    Qalibaf: Vita vya 'Upanga wa Quds' viliwapa izza Waislamu

    Aug 06, 2021 20:37

    Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema vita vya siku 12 vya 'Upanga wa Quds' huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu viliwapa izza na kuwapandisha hadhi Waislamu kote duniani.

  • HAMAS yautaka utawala wa Saudi Arabia uwaachilie huru mahabusu wa Kipalestina

    HAMAS yautaka utawala wa Saudi Arabia uwaachilie huru mahabusu wa Kipalestina

    Aug 05, 2021 08:12

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) ameitaka Saudi Arabia iwaachilie huru mahabusu wote Wapalestina inaowashikilia na kufunga faili lao.

  • HAMAS: Kuishambulia Gaza kwa mabomu, jaribio lililofeli la adui

    HAMAS: Kuishambulia Gaza kwa mabomu, jaribio lililofeli la adui

    Jul 26, 2021 07:57

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imeashiria mashambulio ya usiku wa kuamkia leo ya jeshi katili la utawala haramu wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza na kusema kuwa, hujuma hiyo ya anga ni jaribio lililofeli la utawala wa Kizayuni la kujaribu kuonesha una nguvu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS