-
Hamas yalaani nchi za Kiarabu zinazopigania kuwa na uhusiano na Israel
Oct 30, 2019 10:24Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imezilaani nchi za Kiarabu ambazo zinapigania kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Hamas: Kuendelea kutiwa mbaroni Wapalestina nchini Saudia ni jambo lisilokubalika
Oct 28, 2019 23:25Mkuu wa Ofisi ya Uhusiano wa Kitaifa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesisitiza kuwa kuendelea kukamatwa na kufungwa jela nchini Saudia raia wa Palestina ni jambo lisilokubalika. Amesema faili la kesi hiyo hadi sasa halijapiga hatua yoyote.
-
HAMAS yalaani utawala wa Kizayuni wa Israel kushirikishwa katika mkutano wa Bahrain
Oct 20, 2019 23:09Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani vikali kualikwa na kushirikishwa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika mkutano wa usalama wa baharini unaotazamiwa kufanyika nchini Bahrain, ikisisitiza kwamba hatua hiyo inakinzana na misimamo ya umma wa Waarabu.
-
HAMAS: Kuuvunjia heshima Msikiti wa al Aqsa ni kuchochea hisia za Waislamu duniani
Oct 17, 2019 04:28Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza kuwa, hatua ya mamia ya walowezi wa Kizayuni ya kukivunjia heshima Kibla cha Kwanza cha Waislamu yaani Msikiti wa al Aqsa ni udhalilishaji na uchochezi wa wazi wa hisia za umma mzima wa Kiislamu na Kiarabu.
-
Israel yakiri kuwaua kigaidi viongozi wa HAMAS nje ya Palestina
Oct 11, 2019 23:01Mkuu wa Shirika la Kijasusi la utawala wa Kizayuni MOSSAD amekiri kuwa, utawala huo dhalimu umekuwa ukiwaandamana na kuwaua kigaidi viongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS nje ya ardhi hizo zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.
-
Mwakilishi wa Hamas Iran asisitiza kuhusu umoja wa nchi za Kiislamu
Oct 10, 2019 00:55Mwakilishi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) nchini Iran ametoa wito wa Umoja wa nchi za Kiislamu katika kukabiliana na maadui.
-
Hamas: Njama ya kuuawa Jenerali Soleimani wa Iran ni kwa maslahi ya Israel
Oct 05, 2019 08:26Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imelaani vikali njama iliyotibuka ya nchi za Kiarabu na utawala wa Kizayuni wa Israel ya kutaka kumuua Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH), Meja Jenerali Qassem Soleimani.
-
Hamas yatoa radiamali kwa uchaguzi wa utawala wa Kizayuni
Sep 18, 2019 20:54Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza kuwa kufanyika uchaguzi wa bunge la Israel hakutaleta mabadiliko yoyote katika mwenendo wa muqawama wa Wapalestina.
-
Mwanachama mwingine mwandamizi wa HAMAS amewekwa kizuizini nchini Saudi Arabia
Sep 17, 2019 03:42Duru za Palestina zimetangaza kuwa mwanachama mwingine mwandamizi na muhimu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amekamatwa na kuwekwa kizuizini nchini Saudi Arabia.
-
Hamas yapongeza maamuzi ya Mahakama ya Ulaya
Sep 07, 2019 08:24Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imepongeza uamuzi wa Mahakama ya Ulaya wa kuondoa jina la harakati hiyo na brigedi za Izzuddin al Qassam, tawi la kijeshi la harakati hiyo katika orodha ya makundi ya kigaidi.