Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

HAMAS

  • Al-Qassam yamwangamiza askari wa Kizayuni baada ya kutofanikiwa kumkamata mateka

    Al-Qassam yamwangamiza askari wa Kizayuni baada ya kutofanikiwa kumkamata mateka

    Jul 10, 2025 09:40

    Brigedi za Izzuddinul-Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS limetangaza kuwa limelazimika kumuangamiza mwanajeshi mmoja wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji wa Khan Younis, kusini mwa Ukanda wa Ghaza baada ya mazingira kwenye medani ya mapambano kutoruhusu kumkamata mateka.

  • Hamas: Muqawama utaendelea kukabiliana na mashambulizi ya Israel

    Hamas: Muqawama utaendelea kukabiliana na mashambulizi ya Israel

    Jul 01, 2025 08:55

    Afisa wa ngazi ya juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) ameonya kuwa kuendelea mashambulizi na hujuma za Israel kunazidisha mapambano na muqawama wa wananchi wa Palestina dhidi ya maghasibu Wazayuni.

  • Hamas yaapa: Tutaendelea kuwaua wanajeshi wa Israel baada ya shambulizi la kuvizia kuwaua 7 huko Gaza

    Hamas yaapa: Tutaendelea kuwaua wanajeshi wa Israel baada ya shambulizi la kuvizia kuwaua 7 huko Gaza

    Jun 26, 2025 12:31

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeapa kuendelea kuwashambulia wanajeshi wa utawala wa Kizayuni baada ya shambulizi la kuvizia lilitotekelezwa na wanamuwawama wa harakati hiyo na kuangamiza wanajeshi saba kusini mwa Ukanda wa Gaza.

  • Hamas: Israel imefanya uharamia kwa kushambulia meli ya misaada

    Hamas: Israel imefanya uharamia kwa kushambulia meli ya misaada

    Jun 09, 2025 07:44

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) imelaani shambulio la utawala wa Kizayuni dhidi ya meli iliyobeba misaada ya kibinadamu kuelekea Gaza na kusema kuwa, kitendo hicho ni uharamia wa baharini na jinai dhidi ya binadamu.

  • Hamas: Tutaendeleza mapambano hadi tone la mwisho la damu

    Hamas: Tutaendeleza mapambano hadi tone la mwisho la damu

    Jun 07, 2025 03:29

    Msemaji wa Brigedi za al-Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas amesisitiza kwamba operesheni za wanamuqawama dhidi ya uvamizi wa Israel zitaendelea "hadi pale utawala wa Kizayuni utakaposhindwa."

  • Hamas: Jinai za Israel Gaza zinashinda uhalifu wa Wanazi

    Hamas: Jinai za Israel Gaza zinashinda uhalifu wa Wanazi

    Jun 02, 2025 03:14

    Afisa mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas amelaani shambulizi la karibuni la Israel dhidi ya wananchi wa Kipalestina wenye njaa waliouawa shahidi wakiendea chakula cha msaada kusini mwa Gaza, akibainisha kwamba mauaji haya yanatuma ujumbe wa wazi kwa ulimwengu wa Kiislamu kwamba wakati umefika wa kusimama dhidi ya wauaji.

  • Hamas yaafiki pendekezo la US la kuondoka askari wote wa Israel Gaza

    Hamas yaafiki pendekezo la US la kuondoka askari wote wa Israel Gaza

    May 29, 2025 02:37

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema imefikia makubaliano na Mjumbe Maalum wa Marekani katika eneo la Asia Magharibi, Steve Witkoff kuhusu "mfumo jumla" wa kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza.

  • Siku 600 za mauaji ya kimbari Gaza; Hamas yaitisha maandamano

    Siku 600 za mauaji ya kimbari Gaza; Hamas yaitisha maandamano

    May 28, 2025 03:21

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa wito kwa Wapalestina, Waarabu, Waislamu na watu huru kote duniani kushiriki katika harakati ya kimataifa na maandamano ya 'ghadhabu za kimataifa' kuadhimisha siku 600 za "mauaji ya halaiki na njaa" dhidi ya watu wa Gaza.

  • Muqawama walaani matamshi ya mbunge wa US anayetaka Gaza ipigwe mabomu ya nyuklia

    Muqawama walaani matamshi ya mbunge wa US anayetaka Gaza ipigwe mabomu ya nyuklia

    May 25, 2025 03:40

    Makundi ya Muqawama ya Palestina ya Hamas na Jihadul Islami yamemlaani vikali mbunge wa chama cha Republican nchini Marekani, Randy Fine kutokana na matamshi yake ya kutaka kufanyika shambulio la nyuklia katika Ukanda wa Gaza.

  • Hamas yapongeza mataifa 80 kwa kulaani jinai za Israel huko Gaza

    Hamas yapongeza mataifa 80 kwa kulaani jinai za Israel huko Gaza

    May 23, 2025 08:26

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imekaribisha kwa mikono miwili taarifa ya pamoja iliyotolewa na nchi 80 duniani, zikisisitiza kwamba Gaza inakabiliwa na mzozo mbaya zaidi wa kibinadamu tangu kuanza kwa vita vya Israel Oktoba 7 mwaka 2023.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS